Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhaniHv kuna mwenye ujasiri wa kujiunga Jf halaf akalog out milele asiitamani?
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi
Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga
Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi
Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Ana vilechewa huyoHahaha wewe miguu yako itakuwa inamakovu kinoma naona umemind sana wenzako kuvaa kaptula
[emoji1] [emoji1] [emoji1] namimi naona maana alivyoponda sio mchezoAna vilechewa huyo
Yaani Mie sina mbavu ujue[emoji1] [emoji1] [emoji1] namimi naona maana alivyoponda sio mchezo
Haha nawewe kaptula hupendi?Yaani Mie sina mbavu ujue
Kuvaa Suruali Sana Kuna Punguza Nguvu za Kiume Siye wazee wa Pwani Tunavaa Misuli na Vizibao Tukibadili Ni Pensi Nyanya heluah!!Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi
Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga
Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi
Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Bas kwangu utaelewa,,,im bow leged flani af thickness ya kisukuma sio toothpick.hahaha wewe una wivu tu !binafsi mie huwa navutiwa kama mwanaume ana mguu wa pensi umepinda kidogo !awww!
hata kovu aiseVipi mguu wangu huo unafaa?![]()
Haha.Haha nawewe kaptula hupendi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe hapana. WanaumeHaha.
Nivae mie au
Napenda kuangalia miguu yao... Vile vinyweleo mie hooooiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe hapana. Wanaume