Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Kwahiyo huu wangu nao wa kishoga?? Duh
07d30a36046d4f464b3444d193454a50.jpg
Sasa mapozi gani ayo
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
jiamini wewe.mbona hata mm ninao.kwahyo guu la bia ndio ushoga
 
Back
Top Bottom