Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mtu hajiumbi, ukikuta mwanaume ana mguu kama wa kike jua kua 'hakujiumba' yeye. Na ukikuta mwanamke ana mguu kama wa kiume jua kua 'hakujiumba'
Ukiwa mimba tumboni kwa mama yako 'hauchagui' aina ya viungo uvipendavyo
 
Kwahiyo huu wangu nao wa kishoga?? Duh
07d30a36046d4f464b3444d193454a50.jpg
Samahani chief. Nyumbani Upo mwenyewe?
 
Ila acheni utani, kuna vikaptula wanaume wa miaka hii wanavaa vinatia aibu. Unkimcheki utadhani kademu. Mwanaume kaptula safi ndefu chini ya magoti na sio ya kubana matako na mapaja! Vinginevyo biashara hio!
 
Mmeanza chokochoko baada ya kuona miguu ya mtu
 
Back
Top Bottom