Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Wewe ushatoa sababu kwakua Mguu umekomaa una nywele huezi vaa ikimaanisha usingekua navyo ungevaa,acha wivu
 
Kwahiyo huu wangu nao wa kishoga?? Duh
07d30a36046d4f464b3444d193454a50.jpg
Kwa BK hili guu la kukanyagia pombe!
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Ww unazani kila mtu amepitia maisha ya kuchoma mkaa na kuchimba chumvi..?
 
Mzee acha tuvae tu pensi maana Dada zenu wanahusudu sana kuiona miguu yetu laivulaivu ikivyo sexy.

Wewe kama unavinyweleo kama katuni za bwana chezo huku kigimbi kimekujaa kama umefunga Gunzi kwenye mguu au betri la tiger niseme tu pambana na hali yako maana ni dhahiri pensi unatamani kuvaa ila miguu yako sio rafiki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kweli aisee hawana tofauti na wale wadada wanaijiuza pale sinza
 
Back
Top Bottom