Mwanaume unaanzaje kuvaa suruali za kubana?

Mwanaume unaanzaje kuvaa suruali za kubana?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Hivi mwanaume mzma una anzaje kuvaa suruali imekubana kama mwanamke jaman? Wengine wanavaa suruali zinabana mpaka vimatako vinachoreka kwa suruali halafu hawavai chupi.

Sasa umkute ana matako makubwa halafu amekupea mgongo kama hujaona sura unaweza ukadhani ni Mwajuma kumbe ni Ali au James.

Sijui nani aliwaambia mkivaa hivo mnapendeza na kama yuko aliyewambia hivo basi amewadanganya hata hampendezi.
 
Kuna msela alivaa suruali inambana matako alafu ni ya kitambaa cheupe na chepesi kinaonesha mpaka boxer yake nyekundu sasa akawa anatembea mbele nyuma nipo mimi.

Rafiki yangu na wadada kama 8 ,wale wadada walicheka kwa sauti njia nzima mpaka jamaa akakosa amani.
 
Bila picha huu ni uzushi tu wenye lengo la kuwadhalilisha kaka zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
khantwe dear kuna watu wanavaa hovyo sana ukiwaona utawahurumia😂 kuna jamaa nilikutana nae kavaa soaks nyekundu na mkononi simu ina kasha jekundu na chini ana viatu vyekundu juu akapiga shati nyeupe kiuno kina mkanda wa kijani
 
Hivi mwanaume mzma una anzaje kuvaa suruali imekubana km mwanamke jaman? wengine wanavaa suruali zinabana mpk vimatako vinachoreka kwa suruali halafu hawavai chupi.Sasa umkute ana matako makubwa halafu amekupea mgongo kama hujaona sura unaweza ukadhan ni mwajuma nchokonoe kumbe ni ali au james. sijui nani amewaambia mkivaa hivo mnapendeza na km yko aliewambia hivo basi amewadanganya hata hampendez.
Weka picha.
 
khantwe dear kuna watu wanavaa hovyo sana ukiwaona utawahurumia[emoji23] kuna jamaa nilikutana nae kavaa soaks nyekundu na mkononi simu ina kasha jekundu na chini ana viatu vyekundu juu akapiga shati nyeupe kiuno kina mkanda wa kijani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom