Mwanaume unaanzaje kuvaa suruali za kubana?

Mwanaume unaanzaje kuvaa suruali za kubana?

Kumpangia mtu avae vipi ni upumbavu kitu unachopenda wewe wengine hawapendi na kitu unachochukia wewe wengine wanapenda sio vizuri ukawa unawashwa washwa na pilipili ambayo bado ipo shamba


Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom