Mwanaume unaanzaje kuvaa suruali za kubana?

Mwanaume unaanzaje kuvaa suruali za kubana?

Kama hv[emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20200506_121005.jpeg


Its not over until its over...[emoji769]
 
Wengine wana mapaja makubwa na makalio kabisa basi aibu unaona wewe mtazamaji[emoji134][emoji134][emoji134]

Ila sasa ukija kwa hawa vimbau mbau na matege yao ndio daaaaaah!!
 
kuna msela alivaa suruali inambana matako alafu ni ya kitambaa cheupe na chepesi kinaonesha mpaka boxer yake nyekundu sasa akawa anatembea mbele nyuma nipo mimi,rafiki yangu na wadada kama 8 ,wale wadada walicheka kwa sauti njia nzima mpaka jamaa akakosa amani
Ungemstua msela usimuache aabike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haituhusu Sisi
wapiga Suruali za vtambaa na mashati flani hivi ya Kbahama.
 
Teh teh..Huyu nilikutana nae siku moja..Sema chini alikuwa na Sendo.
khantwe dear kuna watu wanavaa hovyo sana ukiwaona utawahurumia[emoji23] kuna jamaa nilikutana nae kavaa soaks nyekundu na mkononi simu ina kasha jekundu na chini ana viatu vyekundu juu akapiga shati nyeupe kiuno kina mkanda wa kijani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom