Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hapana mpendwa nataniaunataka unambie walikufanyia tambo ?
Nakuja huko kwa piemuHapana mpendwa natania
Kuna kufuli mpendwanakuja huko kwa piemu
toka lini ? juzi kulikua waziKuna kufuli mpendwa
Mpendwa wewe kazi yako kuchungulia pm ๐๐๐toka lini ? juzi kulikua wazi
Dear sasa nifanye nini tena zaidi ya hiko,abiria chunga mzigo wakoMpendwa wewe kazi yako kuchungulia pm ๐๐๐
๐๐Kwa kweli bebiDear sasa nifanye nini tena zaidi ya hiko,abiria chunga mzigo wako
๐๐๐๐Kwa kweli bebi
Ungemstua msela usimuache aabike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna msela alivaa suruali inambana matako alafu ni ya kitambaa cheupe na chepesi kinaonesha mpaka boxer yake nyekundu sasa akawa anatembea mbele nyuma nipo mimi,rafiki yangu na wadada kama 8 ,wale wadada walicheka kwa sauti njia nzima mpaka jamaa akakosa amani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukute kavaa hivyo ana vipaja, vimiguu kama kuku.
hahaha mkuu mchuma janga hula na wa kwao๐ (kwa sauti ya Rc mwanri)Ungemstua msela usimuache aabike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
khantwe dear kuna watu wanavaa hovyo sana ukiwaona utawahurumia[emoji23] kuna jamaa nilikutana nae kavaa soaks nyekundu na mkononi simu ina kasha jekundu na chini ana viatu vyekundu juu akapiga shati nyeupe kiuno kina mkanda wa kijani