Sisemi mke kufanya kazi za kuongeza kipato ni mbaya,la hasha
ila nasema hivi,nikiwa na pesa (ile pesa kweli kweli) nitamfungulia
mke biashara ambayo ataingia baada ya kumaliza kazi za nyumbani
na huko kazini atakaa masaa machache tu,atarudi nyumbani Kulea na kuandaa mazingira
ya mimi "mume" nikirudi nyumbani nikute ile atmosphere ya nyumba iliyo na MAMA/mke
Kazi ya mwanamke kutoka nyumbani 12 asubuhi to 1 usiku,Kwangu ni NO
Kazi ya mwanamke kwenda kupambana (kama msemavyo) kurudi kwangu mbili usiku ni NO
Ki ufupi siafiki u busy wa kutafuta kipato kwa mke wangu,naruhusu tu afanye biashara (kwa muda huo mchache)
ili tu asiwe bored na pesa atayopata kwenye hiyo biashara ataamua mwenyewe aifanyie nini
Ushoga umezidi kutokana na mwanamke kuruhusiwa eti kupambana,Watoto wanajilea wenyewe.
Dunia inaharibika kwasababu ya mwanamke kupewa majukumu ya mwanaume
Mimi wanangu hawawezi haribikiwa na nitaanza na mama yao,Atoke nyumbani watoto wameshaenda shule
ARUDI nyumbani watoto hawajarudi shule,ili wakirudi wachafu awazabue,wakirudi na kasoro awanyoooshe
Kazi pekee ya mama ni FAMILIA,kAZI PEKEE ya BABA ni kuitunza familia...Maswala ya kifo yapo ila kila mtu
asimamie eneo lake,BABA kuitunza Familia, MAMA kulea Familia,Kwisha..U supa woman sio kwangu mimi.