Mwanaume unaemkataza mkeo kufanya kazi unafanya makosa makubwa

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kumbe kuna wanawake wanakatazwa kufanya kazi na hawafanyi kweli😳😳😳😳
 
Upo sahihi kbsa mkuu
 
Sio vibaya mwanamke kutafuta pesa ila hutakiwi kumruhusu akuzidi kipato maana hapo ndo dharau zitakapoanzia.
 
[emoji23][emoji23]Aisee mkuu nimependa Sana mwanamke akae nyumbani basi atakama ni kazi iwe part time kama masaa 2 au 3 ila full time ni ujinga.

Utapataje raha za mke kama anafanya kazi full time.Unarudi nyumbani umechoka mistress hakuna wa kukupa hata pole wote mmechoka hujaandaliwa maji hapo chakula Bado hakijapikwa.Bora nipe form 4 Failure anitreat kama mume na sio kuoa mwanamke atakayekuwa kama mwanaume
 
Inategemea na muonekano wa mke; kuna wengine ni sawa na umpelekea boss chakula.
Kama pesa ipo asimamie kampuni/biashara za familia.
 
Kuna mjomba alienda kazini kwa mke wake akakuta machekibobu wanajadili tako la mke wake kama ni og au mchina kachukia hataki aendelee na kazi.Mi wangu atafanya tu na nshamuombea hizi ajira zilizotangazwa.Njaa sio jambo la mchezo.
 
Wanaume wa siku hizi au Vijana ni hovyo sana, wazee wetu kipind cha nyuma waliweza kutunza familia bila kina mama kufanya kazi, walitunza watoto na ndugu zao nyumba moja tulikaa mpaka 11 na tulikula na kwenda shule. Kazi ya mwanamke ni kutunza familia na kuzaa sio kufanya kazi ili ajifunze siku ukifa.

Wekeza asset kwa familia na watoto wako habar ya kufa muachie mungu, timiza wajibu wako mwanamke abebe mimba atunze nyumba na mambo mengine ya kike mwanaume tafuta kwa jasho
 
Nashangaa Vijana wa sahivi
 
Upo sahihi hata kama sio kufanya kazi ila shughuli ni muhumi kuna mda lazima awe na shughuli ili mradi mwili ufanye kazi ..

Sema naelezea uhalisia uliopo maana nimefanya sana na wanawak section moja tukiwa hatuna backup plan ya wafanyakazi wengine .
Sema nn maisha ni kusaidiana huyu mdada ndani miaka 4 alijifungua mara mbili sasa jumlisha ile miezi sita sijui ya maternity leave plus mkiwa mnafanya kazi mara utasikia mtoto anasumbua basi anaondoka naona ana mfanyakaz ila mtoto akiumwa lazima asepe ni kwamba hayupo active kazini.


Kwa mtazamo wangu wanawake watu wazima na wana watoto wakubwa ni wachapakazi wazuri na wana akili sana hawanaga mambo mengi kama wafoto wao ni wakubwa tayar..

kwa miaka hii ya vijana wa hovyo bora wafanye kazi maana vijana wanazalisha tu wanakimbia hata awe ameoa mahitaji ya familia hatoi yaani vurugu kabisa acha wakafanye kazi.
 
CONTROLA
Your a real a Controla..and that a damn character for a Man..You have said it allπŸ₯°Your the best Man ever on EarthπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Muache afanye kazi, usiitolee macho pesa yake. Ukiashaanza kuitolea macho pesa ya mwanamke unakaribisha migogoro.
HAKI SAWA kwa kila jambo kifamilia ila si pesa za Ke.

Huu si ukichaa?

Ke anafanya kazi kwa masilahi ya nani sasa ikiwa anayejenga naye familia hanufaiki chochote na hiyo kazi yake?
 
Tafsiri sahihi ya Great Thinker [emoji119]
 

Good
 
Ukweli na tuuseme,haya mengine watu wanaongea tu

ila Ukweli binafsi yangu Ni huo,Jukumu la Mke linajulikana na la Mume linajulikana,

watu na Ubishi tu ila mwanamke akikubali Jukumu lake na Mume akikubali Jukumu lake,

Hizi mambo za ushoga wala tusingezisikia masikioni mwetu miaka ya leo,shida wanawake wabishi

wanakutana na wanaume wasiojua majukumu yao,Matokeo ndiio hayo madhara yote yanaonekana kwa watoto.
 
Kabisa kabisa
 
CONTROLA

Your a true meaning of Great ThinkerπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Naungana na mtoa mada. Maisha ya kiafrika yanaeleweka. Nimesoma kwa shidaa ili nije kukomboa familia,,,hewala napata mume wenye hela kwa sababu anauwezo wa kunihudumia eti anishauri niache kazi. Kama mwanamke nitafanya yote atayoniambia ila kuacha kazi hapana aiseeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…