Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiepe ndege😬😬😬 na vikuku viwil kachumbari nyingiiii😂 alafu ukitoka hapo unajazia na chips yai
Umesahau ukwaji na mayonize na mshikaki wa kuku 😂😂 alafu ukitoka hapo unajazia na chips yai
kiepe ndege😬😬😬 na vikuku viwil kachumbari nyingi😂 alafu ukitoka hapo unajazia na chips yai
Situmii popmbe mimiSerious?
Sawa uncle wa halfendelea kunywa maunten dyuu na aisikirimu....
unajiita Johnnie Walker halafu unataka kutuaminisha hunywi pombe 🤣Situmii popmbe mimi
Unae acha udwaz una mkataajesina anko humu 😅
Mimi napenda ilo jina ila sio pombeunajiita Johnnie Walker halafu unataka kutuaminisha hunywi pombe 🤣
jikazeSawa uncle wa half
nawewe ni mdau?kiepe ndege😬😬😬 na vikuku viwil kachumbari nyingiiii
alafu ndio aina hii ya wanaume impe mimba sepenga? 😂Umesahau ukwaji na mayonize na mshikaki wa kuku 😂
Maneno tu hayo hata kwenye kanga yapo.Dadako anywe lite na wewe unywe lite?
Shame
Unapangia watu maisha we jamaa kiazi kweli..Wakulungwa,
Hivi serious unatoka unaenda agiza serengeti lite/castle lite/kilimanjaro lite na zingine zinazofanana na hizo?
Kweli?
Kweli?
Kweli?
Hata kama pesa ni yako,hizi lite si sawa na maji?
Demu wako anywe lite na wewe lite?
Si aibu hii,
Povu ruksa,
Nishajikoki mabomu.
Wanaume tunapokunywa lager,Maneno tu hayo hata kwenye kanga yapo.
Unakunywa lite . Uwanaume pesa sio kunywa tupombe tuwili umechoka hela huna.
Bucket 6 za serngeti lite na kitimoto. Mumsap apewe hennessy. Maisha yanaendelea. Sasa midume mmekaza mnakunywa lager eti ni uanaume. Mtakula sasa block na lager zenu.
Tutampa demu wako mimba usijarnawewe ni mdau?
alafu ndio aina hii ya wanaume impe mimba sepenga? 😂
Sawa afandejikaze