Mwanaume unakunywaje lite?

Mwanaume unakunywaje lite?

Wanaume tunapokunywa lager,
Kimbia jikon ukakae na dada zako...

Kunywa lite ni umama,niliko lite 6 ni buku 10 (promotion),
Safari moja buku 5...
Wapi safari buku tano😂😂😂😂. Huna hela wewe safari buku tano wapiiii??...
 
Acha kupangia watu maisha Mkuu, kama mtu ananunua Kwa fedha yake na kama mtu anatumia kitu anachojifeel nacho na mwisho si vizuri kupangiana maisha.
Nimechangia hivyo ila Mimi ni mdau wa Ile kitu inaitwa special for decision makers ( konyagi).
Mkuu mnywaji mwenzangu acha kuwanyanyapa hao wenzetu wanaotumia hizi lite kuna kipindi nilikuwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaotumiag savanna ila nimeshawazoea na kuwakubali .
Kila mtu ana Uhuru wa kunywa kinywaji vile anavyojisikia.
Haiwezekani kupangiana what to like or dislike we are unique
Sawa nimekubali,sikupangii,
Ila tukikaa wanaume tunakunywa bia...usisogee
 
Mimi sichagui bia aisee, safari, kilimanjaro zote, serengeti zote, castle zote, flying fish ndo kuna siku tulikata box na nusu mimi na mwanangu.
 
Wapi safari buku tano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huna hela wewe safari buku tano wapiiii??...
Mshamba wewe ujatembea,
Kae Beach, six degrees, full moon party, ratatuu, na Viwanja kibao..lager buku 10...ni kawaida..wanaojua watakwambia..


Tembea uone ngedere we.
 
Back
Top Bottom