Mwanaume unakunywaje lite?

Sawa nimekubali,sikupangii,
Ila tukikaa wanaume tunakunywa bia...usisogee
Haya sawa mi natumia konyagi since 2002 na siwezi kumpangia mtu kinywaji .
Nishawanunulia na nitaendelea kuwanunulia my close circle whatever they feel to drink nakaa na watu wanaagiza maji wakati wengine wanaagiza alcoholic drink.
Mkuu nakushauri soma kitu Kwa kiingereza wanaita diversity maisha yatakuwa mepesi sana kwako
Kuna jamaa yangu anakampuni ya ukomytactor class v yeye anatumiaga safari ila ukiwa naye analipa bill za waliokunywa hennes sijui majugeraster and likes ila yeye na mibuyu yake hana shida
 
HALAFU MTOA MADA ANAIIGA MTINDO WA UANDISHI WA KWANGU.

HUWEZ UKAWA UNAIIGA VITU VYA MWANAUME JASIRI KAMA MIMI.

RUDI UKAKUNE NAZI SAWA,?
 

Kmmmke wallah! Kwaio ninywe nn balimi [emoji23]
 
Mshamba wewe ujatembea,
Kae Beach, six degrees, full moon party, ratatuu, na Viwanja kibao..lager buku 10...ni kawaida..wanaojua watakwambia..


Tembea uone ngedere we.
Too hell. Ni uwongooooo,, huo ni uwongooo.. wewe muongooo bwanaaaa. Na hapa bia umeongelea ngumu ni za mtaani na tu bar bar tuchafu. Unaongelea ngumu.
Vijana ni mwendo wa serengeti au castle lite. Pombe si vita ni starehe . Ww piga ngumu. Vijana wanapiga lite. Swaaaafi kabisa.
 
Hizo watu wanakunywa sababu itaisha mapema kabla kuwa flat.
Unafungua ingine
Li safari mtazungushana mwaka mzima ndo iishe.
Uliwai kuona bucket ya safari?
 
Hennessy ni cognac,

Jagermaster ni liquor,

Sasa mbona mimi nazungumzia lite mkuu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Asante kwa kuzitangaza hizo lites sijawahi kuzinywa ngoja nijaribu kwanza nione zina nini?
 
Nikujibu kistaarabu kabisa bila mihemko...
Hizo sehem nilizokutaji na ukitaka nikutaji zaidi na nikupe uthibitisho wa Menu zao...siongopi huku bia moja buku 10.
 
Hizo watu wanakunywa sababu itaisha mapema kabla kuwa flat.
Unafungua ingine
Li safari mtazungushana mwaka mzima ndo iishe.
Uliwai kuona bucket ya safari?
Sengeti lager zipo chupa ndogo pia.hata safar
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Asante kwa kuzitangaza hizo lites sijawahi kuzinywa ngoja nijaribu kwanza nione zina nini?
Achana nazo,kama umezoea lager,hazileweshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…