Mwanaume, Unakuta mwanamke hata kujihudumia tu mwenyewe ata kusafisha kucha hawezi, wewe na vihela vyako unambeba

Mwanaume, Unakuta mwanamke hata kujihudumia tu mwenyewe ata kusafisha kucha hawezi, wewe na vihela vyako unambeba

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,593
Reaction score
3,603
Habari waheshmiwa.
Straight ti the point.

Kuna kinyago wanaume wengi wamekichonga wenyewe na kina watesa pasipo kuelewa. Hiki kinyago kinaitwa " PESA YA MATUNZO" au HUDUMA.

Unakuta mwanamke ata kujihudumia tu mwenyewe ata kusafisha kucha hawezi na we na vihela vyako unambeba. Atafurahi ukiwa na hizo za kumpa hizo "huduma".

Ila kaa ukujua ukitetereka akikosa hizo huduma ambazo kimsingi sio basic needs utachapiwa tu.
Swali, unahudumia alafu yeye anakupa nini? Huu ni umalaya tu ni vile hawakai barabarani. Yani ni soft prostitution.

Wanawake wa sasa hivi hasa hao wa kupenda pesa ya matunzo sijui nini, hawatafuti penzi wanatafuta msaada. THEY NEED HELP AND NOT LOVE. Kaa kitaalam.
 
Tuige mfano wa mfalme Suleiman... Alikuwa na wake halali wa ndoa 700 na masuria/michepuko 300 jumla kuu buku/1000 na watoto wa kuweza kutengeneza tarafa lakini wote aliweza kuwahudumia bila shida
 
Tuige mfano wa mfalme Suleiman... Alikuwa na wake halali wa ndoa 700 na masuria/michepuko 300 jumla kuu buku/1000 na watoto wa kuweza kutengeneza tarafa lakini wote aliweza kuwahudumia bila shida
Kwa sababu Hao Wake zake Walikuwa Matajiri. Bongo hii utachakaa!
 
Tuige mfano wa mfalme Suleiman... Alikuwa na wake halali wa ndoa 700 na masuria/michepuko 300 jumla kuu buku/1000 na watoto wa kuweza kutengeneza tarafa lakini wote aliweza kuwahudumia bila shida
Ila hawakwambii watoto aliozaa nao, alikuwa anapigiwa tu wanamla pesa na muda. Mwanaume kataa huu ujinga.
 
Back
Top Bottom