Mwanaume unanyoa salon ya bei gani?

Mwanaume unanyoa salon ya bei gani?

Nafanya Bikini Waxing kwa bei nafuu jamani, kujisafisha sio nywele za kichwani tu, mjisafishe na nywele zote,

Wanaume kupendeza, Wanaume utanashati, Wanaume Unadhifu,
[emoji1533]


Poleni mlokuja inbox, hapa ni kufurahisha genge tu, nothing serious.
 
Dah...mitaa ya ushuani...kwa pisi moja Kali...Ina saluni ya kiume....inakunyoa taratibu....hata huwa sihesabu...nazivuta tu...nikitoka hapo mwepesiii...Raha jipe mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Back
Top Bottom