LUKAS MSAMBWANDA kuna mtu huku anakuchokoza inaelekea ajui kuwa bora wakutukanie baba yako kuliko mama yako πHivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish?
Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
View attachment 3395277
Aaah yaani nachukiaaa afu sujui kwaniniOngezea
Atanteeeee
Nasita kusema.........ila ila ila kufa tu πππMayai nilisahau pia ππ
Mideko iyooAaah yaani nachukiaaa afu sujui kwanini
We jau ngoja niimbe tenzi kwa kichinaNasita kusema.........ila ila ila kufa tu πππ
Mwanamke ambae nmetokea kuwa na true love nae humu ni ephen_ Sijui whyMayai nilisahau pia ππ
Aanh una gharama kubwa Bora hata niwaonge angels wasinikutanishe na wewe kabisa πππWe jau ngoja niimbe tenzi kwa kichina
Sawa, nachagiza tu, nipuuze, watakujibuSina tatizo lolote nimehoji nahitaji majibu! !
Nisamehe ndio uje uniseme hapa πUnakuta mwanaume yuko busy kufatilia wanaume wenzake wanafanya nini, WTF
hio sasa ni mideko pro maxMideko iyoo
Bembeleza zeze ilohio sasa ni mideko pro max
Humble so adorableMwanamke ambae nmetokea kuwa na true love nae humu ni ephen_ Sijui why
View: https://youtu.be/VTbo8E8es9A?si=pk7GGnHjXCx68jol
John Walker, aka Mwachiluwi mpare wa mbeyaNisamehe ndio uje uniseme hapa π
Ok goodSawa, nachagiza tu->nipuuze, watakujibu
Nimekumbuka njiwa ase πJohn Walker, aka Mwachiluwi mpare wa mbeya
unakuta linasema ivo ulivobembeleza mi chitakiBembeleza zeze ilo