Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Mi sina mkeWewe wa kwako umemnunulia
Unajielezea sana mzee umasikini mbaya🤣🤣🤣🤣Ist nayo gari ya kumnunulia mke!?hii si ananunua mwenyewe kutoka kwenye change ya matumizi
Shule zimefungwa sasa mpo huru kutumia smartphone, tutalajie ujinga mwingi sana JF kwa hizi wiki mbili za mid term.Habari
Siku hizi kuna mtindo umeingia sana bodaboda zinasanya kama daladala na mara nyingi mwanamke huwekwa kati huku dume likipumulia Kwa nyuma
Mwanaume jipinde mnunulie mkeo au mpenzi wako ata IST usikubali kuwa lofa.
Anareply mara sita sita😂😂😂Unajielezea sana mzee umasikini mbaya🤣🤣🤣🤣
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣Anareply mara sita sita😂😂😂
Lakini mkuu point yangu si umaipataWewe mmeo amekununulia harrier t*ko la nyani!?
Shida hapo sio mume wala sio bodaboda, huyo mke inakuaje anapanda mshikaki wakati alipewa 1000 apande bodaboda mwenyewe?Habari
Siku hizi kuna mtindo umeingia sana bodaboda zinasanya kama daladala na mara nyingi mwanamke huwekwa kati huku dume likipumulia Kwa nyuma
Mwanaume jipinde mnunulie mkeo au mpenzi wako ata IST usikubali kuwa lofa.
View attachment 3088532
Ist utanunua kwenye change mke acha kulia lia mtandaoniUnajielezea sana mzee umasikini mbaya🤣🤣🤣🤣
Umasikini mbaya sana jamaa umeshachanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣Ist utanunua kwenye change mke acha kulia lia mtandaoni
Mmeo kakununulia ist!?kama bado endelea kuutumikia utaipataLakini mkuu point yangu si umaipata
Ndio nimesuggest solution ya kudumu mkuu mke anunuliwe ata kaISTShida hapo sio mume wala sio bodaboda, huyo mke inakuaje anapanda mshikaki wakati alipewa 1000 apande bodaboda mwenyewe?
Endelea kuikalia utapata harrierUmasikini mbaya sana jamaa umeshachanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu mbona povu kali😂😂😂 mnunulie shemeji hata kaISTMmeo kakununulia ist!?kama bado endelea kuutumikia utaipata
Umeshachanganyikiwa mzee🤣🤣🤣🤣🤣Endelea kuikalia utapata harrier