Tanzania One 2024
Member
- Nov 13, 2020
- 89
- 132
Daaah!imeniuma Sana,ngoja nitoke maghetoni mazeeš„
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata boda ukivaa kwa staha nani ata kuwa na mda naweUkiona mkeo anapenda usafiri wa bodaboda wa kujiabisha mapaja nje, ujue kataka mwenyewe kujianika. Usafiri wa staha uko mwingi tu, kuna bajaj na daladala.
Bodaboda kwa mwanamke haina adabu, kama ana jishepu hata akivaa kwa staha, bado atabinuka, wahuni watamtolea macho.Ata boda ukivaa kwa staha nani ata kuwa na mda nawe
Kubinuka hua wanafanya kusudi huwa wanaisusia keria ndogošBodaboda kwa mwanamke haina adabu, kama ana jishepu hata akivaa kwa staha, bado atabinuka, wahuni watamtolea macho.
Umasikini ndo sababu ya kupanda wawili, sasa wangu hayupo kwenye hilo kundiMkuu huu ni ushauri tu ili mkeo aepuke kubambiwa na madungadunga kama anapandaga bodaboda
Sasa mbona povu mkuu...au ndiyo jiwe gizaniUmasikini ndo sababu ya kupanda wawili, sasa wangu hayupo kwenye hilo kundi
So ist ndo umefanya gari y mfano sio?Habari
Siku hizi kuna mtindo umeingia sana bodaboda zinasanya kama daladala na mara nyingi mwanamke huwekwa kati huku dume likipumulia Kwa nyuma
Mwanaume jipinde mnunulie mkeo au mpenzi wako ata IST usikubali kuwa lofa.
View attachment 3088532