Mwanaume unatoa nyusi?

Mwanaume unatoa nyusi?

Habari zenu Waungwana,

Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo anafanya waxing mikononi na miguuni, haja elekea kama shoga ila kwa tamaduni zetu za kibongo nimeona sio sawa kabisa, alipomaliza nikamuuliza yule dada huyu mzima yani hatuja mkosaa?

Kasema hua anakuja yeye na rafiki zake kila mwezi kufanyiwa facial na waxing ivi kweli wanaume wengine wamefikia hapo? naelewa akifanya facial ila sio kutoa malaika mwanamme mzima,kama wapo wenye hii tabia jamani acheni sio vizuri sasa mwanamke atoe malaika mwilini na wewe mwanamme utoe kutakua na tofauti gani?

kwa mataifa mengine ni sawa ila kwetu sisi apana idadi ya wanaume sipendi kuona inapungua please ..
Huyo akikaa karibu yetu twaweza jisahau tukamchezea makalio

sisi ndo tuko hivi sasa.
Full%2Bbody%2Bblack%2BHair.jpg
 
Mimi Niko huku shinabulandi hata kioo kwangu sina, maana mwanaume anaye kijua kioo huyo katokea sengerema.
 
ujue huyo si mwanaume tena
hahahahahha baby mbona mie hizi zangu hujawahi niambia nitoe?

vibaya hivyo ujue kila wakati unapenda kuzichezea hata huniambii kuwa huwa zinatolewaga

ukirudi jioni na mimi unipeleke huko wanakoita Wax pls
 
Lazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"
Mkuu, na wewe inaonyesha ni mchicha. Maana sio kwa comment hii iseee
 
Habari zenu Waungwana,

Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo anafanya waxing mikononi na miguuni, haja elekea kama shoga ila kwa tamaduni zetu za kibongo nimeona sio sawa kabisa, alipomaliza nikamuuliza yule dada huyu mzima yani hatuja mkosaa?

Kasema hua anakuja yeye na rafiki zake kila mwezi kufanyiwa facial na waxing ivi kweli wanaume wengine wamefikia hapo? naelewa akifanya facial ila sio kutoa malaika mwanamme mzima,kama wapo wenye hii tabia jamani acheni sio vizuri sasa mwanamke atoe malaika mwilini na wewe mwanamme utoe kutakua na tofauti gani?

kwa mataifa mengine ni sawa ila kwetu sisi apana idadi ya wanaume sipendi kuona inapungua please ..
Tatizo wanawake wengi wa kiafrica wamekaririshwa ili uwe mwanaume inabidi uwe rafurafu na ujiachie kizembezembe,ikumbukwe urembo ni haki la kila binadamu bila kutegemea jinsia,eti ninuke kikwapa kisa Mimi mwanaume!

Rubbish
 
Mkuu nimekuelewa anafanya kwa raha zake na wala kusema hapa hakumfanyi yeye kuacha kutoa malaika na nyusi,ila kwa mtanzania au nimeona ajabu na sijategemea kumuona anafanya hayo angekua shoga ningejua ni sawa wala asinge nishughulisha sana ila huyu ni mwanamme amekazana ndio lilonisgangaza.
Hujanifahamu Mkuu,kama umenifahamu usingelitoa maoini haya,Shoga sio Shoga kila mtu anaishi vile anavyotaka,hajawahi kukuomba pesa wala kuomba ushauri wowote kutoka kwako,kwanini upoteze muda wako kushangaa shangaa yasiyo kuhusu,..."Life is to shot for that",pengine na yeye anakushangaa wewe kwanini hunyoi nyusi....

"Lazima tujenge utamaduni wa kuheshimu watu wangenine vipi wanataka kuishi"

Mkuu kuna kabila linaloitwa Waadabe ambalo linapatika katika Jangwa la Sahara,hili kabila wanaume wanajipamba kwa "make up" ilikuvutia wanawake,hapa kwetu Kabila la wamasai wanaume ndio wanaojipamba wanavaa herini wanafuga nywele refu wakati wanawake wao wanakata Nyele zote au wanakuwa vipara kabisa...

Acha kushangaa shangaa Mkuu,shughulikia yako,ukipoteza muda wako kwa kushangaa nini watu wangine.,Time is running fast,...there is no time for that..."

masa.jpg
wada.jpg

Picha ya Juu Mmasai chini Waadabe
 
Mkuu, na wewe inaonyesha ni mchicha. Maana sio kwa comment hii iseee
Hujanifahamu Mkuu,kama umenifahamu usingelitoa maoini haya,Shoga sio Shoga kila mtu anaishi vile anavyotaka,hajawahi kukuomba pesa wala kuomba hushauri wowote kutoka kwako,kwanini upoteze muda wako kushangaa shangaa yasiyo kuhusu,..."Life is to shoot for that",pengine na yeye anakushangaa wewe kwanini hunyoi nyusi....

"Lazimatujenge utamaduni wa kuheshimu watu wangenine vipi wanataka kuishi"

Mkuu kuna kabila linaloitwa Waadabe ambalo linapatika katika Jangwa la Sahara,hili kabila wanaume wanajipamba kwa "make up" ilikuvutia wanawake,hapa kwetu Kabila la wamasai wanaume ndio wanaojipamba wanavaa herini wanafuga nywele refu wakati wanawake wao wanakata Nyele zote au wanakuwa vipara kabisa...

Acha kushangaa shangaa Mkuu,shughulikia yako,ukipoteza muda wako kwa kushangaa nini watu wangine.,Time is running fast,...there is no timef or that..."

View attachment 862172View attachment 862173

Hata mfano mimi mchicha,...wewe unakuhusu nini !?? ni maisha yangu,...huwezi kunifahamu Mkuu,inategemea unaishi dunia gani,mimi na wewe tunaishi na tunafahamu mambo tafauti..
 
Hujanifahamu Mkuu,kama umenifahamu usingelitoa maoini haya,Shoga sio Shoga kila mtu anaishi vile anavyotaka,hajawahi kukuomba pesa wala kuomba hushauri wowote kutoka kwako,kwanini upoteze muda wako kushangaa shangaa yasiyo kuhusu,..."Life is to shoot for that",pengine na yeye anakushangaa wewe kwanini hunyoi nyusi....

"Lazimatujenge utamaduni wa kuheshimu watu wangenine vipi wanataka kuishi"

Mkuu kuna kabila linaloitwa Waadabe ambalo linapatika katika Jangwa la Sahara,hili kabila wanaume wanajipamba kwa "make up" ilikuvutia wanawake,hapa kwetu Kabila la wamasai wanaume ndio wanaojipamba wanavaa herini wanafuga nywele refu wakati wanawake wao wanakata Nyele zote au wanakuwa vipara kabisa...

Acha kushangaa shangaa Mkuu,shughulikia yako,ukipoteza muda wako kwa kushangaa nini watu wangine.,Time is running fast,...there is no timef or that..."

View attachment 862172View attachment 862173

Picha ya Juu Mmasai chini Waadabe
Naona imekukita mkuu,polee wala usiumie wanaojisikia kuchangia wanachangia weye ulokereka pita mkuu bila kujikera,mengine wacha yakupite sipendi ujikera kwa hisani yako.
 
Tatizo wanawake wengi wa kiafrica wamekaririshwa ili uwe mwanaume inabidi uwe rafurafu na ujiachie kizembezembe,ikumbukwe urembo ni haki la kila binadamu bila kutegemea jinsia,eti ninuke kikwapa kisa Mimi mwanaume!

Rubbish
Ivi kuna sehemu nimesama mwanamme lazima anuke jasho au asioge? ebu rudia tena mkuu usisome kwa ajili ya kujibu tuu,soma uelewe,mwanaume mchafu wa nini? au umeona kutoa nyusi ni usafi kwa mwanamme na kufanya waxing? haya sawa nimeshakuelewa wala hamna neno.
 
Naona imekukita mkuu,polee wala usiumie wanaojisikia kuchangia wanachangia weye ulokereka pita mkuu bila kujikera,mengine wacha yakupite sipendi ujikera kwa hisani yako.
Mkuu sijakereka,niko hapa kueleweshana,mtazamo wetu watanzania ni mtizamo wa njia moja,kumbuka hatuwezi sote kuwa sawa,...nilichokiona mimi Watanzania tuna upeo mdogo sana wa kuheshima watu wengine na maisha yao,,tunapenda kushangaa na kukandia wengine bila ya sababu za msingi..

Hatuwashangai Wamasai kwasababuu tumewazoea,lakini kuna watu wengie wa Afrika Magharibi wanawaona wamasai watu wa ajabu sana..

Je ulikuwa unajua kuwa kabila la Kimasai mwanamme ndio anajipamba ili kumvutia mwanamke!?je kwako si ajabu hiyo,,Tujifunze kuwaheshimu watu wanavyoishi..
 
Tatizo wanawake wengi wa kiafrica wamekaririshwa ili uwe mwanaume inabidi uwe rafurafu na ujiachie kizembezembe,ikumbukwe urembo ni haki la kila binadamu bila kutegemea jinsia,eti ninuke kikwapa kisa Mimi mwanaume!

Rubbish

Lazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"

Sio bure utakuwa ww type iliyoongelewa kwenye mada!...
 
Hata mfano mimi mchicha,...wewe unakuhusu nini !?? ni maisha yangu,...huwezi kufahani Mkuu,inategemea unaishi dunia gani,mimi na wewe tunaishi na tunafahamu mambo tafauti..
Hilo ni jiwe kuu lilirushwa gizani mzee, naona limekupata tena ni kichwani kabisa.
Jitahidi usitumie indirect language, kama uko huru kwa kile unachokifanya au maisha unayoishi, why unaonyesha kuficha ficha?
 
Ila hata mdada kufanya waxing pia unakosea,japo huyo shemale ndio kakosea mara kumi zaidi, vinyweleo vina kazi yake mwilini,ikiwa ni kuifanya ngozi yako ipumue na kuzuia baadhi ya bakteria kuingia mwilini mwako,pia huzuia miale ya jua yenye nguvu Kali kuingia mwilini mwako,ingawaje kibongo bongo huwa hatutakag kujua hayo mpaka siku ukianza kupatwa na magojwa ya ngozi ndio utaelewa kuwa kumbe hata kama una vinyweleo kama nguruwe vina kazi yake na umepewa vingi kulingana na nature ya ngozi yako
 
Sio bure utakuwa ww type iliyoongelewa kwenye mada!...
Hilo nalo Iinawezekana mkuu,labda na mimi ndio hiyo type ya kujipamba kama demu,...lakini ni masiha yangu napenda niishi hivyo sasa wewe inakuuma nini!??au inakuhusu nini!??..

Unajua Ukiwaweka Wakenya na Watanzania pamoja utaona vipi watanzania walivyokuwa na ushamba wa kushangaa shangaa na kutaka kujua maisha watu wengine,...ushamba umetuzidi imefika wakati tubadilishe hii tabia...tuheshimu watu wengine na maisha yao...kuna post hapa JF kuna mdau anashangaa kofi Olimide kavaa sketi....hahahaha
 
Wanaume wanazidi kupungua aisee
Mkuu mimi mwanamme wa shoka,sialikwi hata majumbani kwa watu jinsi wanavyonigopa nitawapitia wake zao,sema nimelelewa kutoshangaa mambo yasionihusu,kuheshimu uhuru wa mtu na mambo anayoyafanya...
 
Hilo ni jiwe kuu lilirushwa gizani mzee, naona limekupata tena ni kichwani kabisa.
Jitahidi usitumie indirect language, kama uko huru kwa kile unachokifanya au maisha unayoishi, why unaonyesha kuficha ficha?
hahahaha si unaona tabia ya watanzania ilivyo,kwahiyo mkuu umeshaniweka katika kunda la mabwabwa,....acha kuwa na dhana nazo ni tabia ya kushangaa shangaa...
 
Back
Top Bottom