NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
- Thread starter
- #21
Huyu sio wa Tz shosti hawa hua nawaelewa ila wa kwetu ndio sielewi kabisaaaaaaaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sio wa Tz shosti hawa hua nawaelewa ila wa kwetu ndio sielewi kabisaaaaaaaaaa.
haya mambo yamefika na huko mwanza?hahahahaah, yaani kuna vituko huku mjini jamani. mwingine unakuta eti na yeye kapakatwa miguu na mtengeneza kucha eti anasafishwa na kufanyiwa masaji hahahahah
Wanaume wanapenda mambo ya urembo. Kuna wengine utakuta eti na yeye yuko saluni kwa wapaka rangi, anataka kucha zake zipakwe rangi ile colorless
Atakuwa hana marinda huyo.
garden love??ahahha apana mkuu ni vinyele vile vya mwilini hua wanaume wanakua navyo mpaka kwenye kifua ..
ujue huyo si mwanaume tena
Mkuu kucha sio nenoooooooooo,ila nyusi apana.hahahahaah, yaani kuna vituko huku mjini jamani. mwingine unakuta eti na yeye kapakatwa miguu na mtengeneza kucha eti anasafishwa na kufanyiwa masaji hahahahah
Mkuu dongo hiloooooooo ahahahah.Usishangae kuchonga nyusi, wengine tumeshuhudia wakivaa vikuku... Watoto wao wakija kuvaa sidiria na vipima joto (handbag) wasije kuwaadhibu tu
Enhe..garden love??
Huyo ni SHOGA acha kupoteza muda kumfuatilia.
Ukiona mtu wa hivyo tafadhali acha kumhusisha na Wanaume huyo ni Mwanamke mwenzenu ila yeye ana uume hiyo ndiyo tofauti.
Naona mnawakana wanaume wenzenu hivi hivi!ujue huyo si mwanaume tena
Wale wanalegea wakiona wanaume.mmh, haya ila amekazana hakulegea ivoo.
Shangazi hao ni wanaume wa Dar,sisi huku kwetu Roria-Mara hata muda wa kunyoa tu ndefu hatupati!
oooooooh hivooooooooo eeh? haya.Wale wanalegea wakiona wanaume.
Wewe ni Jinsia gani?Naona mnawakana wanaume wenzenu hivi hivi!
Lazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"
Inaezakua amekosea ni fashionFacial ndo nini?