Mwanaume unatoa nyusi?

Mwanaume unatoa nyusi?

Wanaume wanapenda mambo ya urembo. Kuna wengine utakuta eti na yeye yuko saluni kwa wapaka rangi, anataka kucha zake zipakwe rangi ile colorless

kusafisha kucha sawa hata facial its okay ila kutia nyusi na kufanya wax hua sielewi kabisaaaaaaaaaaaa,dume zima lina guna guna tuu liniogopa uzi unauma.
 
Usishangae kuchonga nyusi, wengine tumeshuhudia wakivaa vikuku... Watoto wao wakija kuvaa sidiria na vipima joto (handbag) wasije kuwaadhibu tu
 
hahahahaah, yaani kuna vituko huku mjini jamani. mwingine unakuta eti na yeye kapakatwa miguu na mtengeneza kucha eti anasafishwa na kufanyiwa masaji hahahahah
Mkuu kucha sio nenoooooooooo,ila nyusi apana.
 
Lazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"

Mkuu nimekuelewa anafanya kwa raha zake na wala kusema hapa hakumfanyi yeye kuacha kutoa malaika na nyusi,ila kwa mtanzania au nimeona ajabu na sijategemea kumuona anafanya hayo angekua shoga ningejua ni sawa wala asinge nishughulisha sana ila huyu ni mwanamme amekazana ndio lilonisgangaza.
 
Back
Top Bottom