Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

Ukiweka biashara ambayo wanunuzi wakubwa ni wanawake lazima wakufilisi,
Mwanamke yupo tayari kuliwa na muuza biringanya ili mradi tu apewe biringanya bure, yaani ile Ubure kwake hua inathamani kuliko mwili wake,

Ndio maana wazee wa Pwani hua hawaruhusu wake zao na mabinti zao waende Sokoni, huko utakuta muuza nyama, muuza samaki, muuza mchele, muuza nazi, muuza embe na ubuyu, wote wanajipigia mwanamke mmoja na huyo mwanamke anajionea sawa ili mradi tu akienda na pesa sokoni ilirudi na vifaa apate.
[emoji23][emoji23][emoji23] umesahau na biashara ya chips

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hahaha wakati tunakua tukienda likizo pale nyumbani kwa bibi kulikua na jiwe la kusugulia miguu nyumbani, kipande cha gome la mti kwaajili ya kusugulia kucha! Mimi huwa nanunua vifaa nasugua mwenyewe nyumbani
Siku hizi sio wanawake tuu... hata wanaume wako kwenye foleni za kuoshwa miguu
Watakuwa Mchele mchele hao
 
biashara hii ina cha taxes kweli?😀😀😀
maana hawa wana wanapiga benefits kede kede kusugua nyayo mpaka migongo
mimi nitafanyia yeye hiyo huduma hapana peleka miguu inje
kwenye massage ni suala binafsi kidogo hapo niachwe nisiulizwe😀😀😀
 
nikute wife amewekwa miguu juu anaoshwa na kusuguliwa unyayo
huko ni kukaanga mahusiano kwa moto mkali sana 😀 😀
god forbid
 
Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani.

Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo?

Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na muhudumu wa kike? (Kumbuka hukandwi ukiwa na nguo zote) na ikiwa hakuna shida je kidume unaweza kukubali kukandwa na kidume mwenzio ili mkeo akwamini kuwa ni massage tu?

Msimamo wangu mimi nakataa hizo biashara zote full stop sababu zitakuja kwenye koment chini.

Naombeni kuwasilisha
mume kwenda massage hilo linategemea na uhitaji na majukumu kama kazi yangu inataka oil massage/deep tissue massage/hot stone
basi niruhusiwe mara moja kuwahi hiyo huduma🤓🤓
 
Back
Top Bottom