Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mwanaume unawezaje kujenga kwa mkeo yaani kujenga nyumba nyumbani kwa mkeo wakati kwenu kunavuja?
Unawezaje kuhudumia familia ya mkeo wakati wewe familia yako hakuna wakuhudumia?
Unawezaje kusomesha ndugu za mkeo wakati kwenu ndugu wengi hawajasoma?
Huoni mwanamke anakunyonya anata kukua uon?
Mwanamke pesa zake zake pesa zako zake chukua hatua anakuona wewe bwege
Mwanaume sio wajibu wako kufanya yote hayo