Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Na kwanini ulogwe?
Mwanaume siku zote anatafuta heshima, hasa upande wa mke wakeMwanaume unawezaje kujenga kwa mkeo yaani kujenga nyumba nyumbani kwa mkeo wakati kwenu kunavuja?
Unawezaje kuhudumia familia ya mkeo wakati wewe familia yako hakuna wakuhudumia?
Unawezaje kusomesha ndugu za mkeo wakati kwenu ndugu wengi hawajasoma?
Huoni mwanamke anakunyonya anata kukua uon?
Mwanamke pesa zake zake pesa zako zake chukua hatua anakuona wewe bwege
Mwanaume sio wajibu wako kufanya yote hayo
Uho ni ujinga upande wa mke hakuna watu? AmkeniMwanaume siku zote anatafuta heshima, hasa upande wa mke wake
Sio muhimu jikite kwnye madaUna umri gani??
Sema yote!Iko Hivi kumuitaji mwanamke ni Kujipendekeza, Au kushoboka Watoto wasiku hizi wanasema.
sasa wewe Kuhudumia Familia ya mke au kusomesha ndugu wa mkeo hizo ni shobo zako.
Kwani hiyo Familia Haina watu wa kutoa pesa au Kuhudumia Mzazi au Ndugu zao.
Utasikia Kuna ndugu yangu ana umwa naomba pesa ya matibabu yako.Huyo ndugu anaweza na Mke/ mme wamuhudumie siki kujitwisha mizigo isiyokuhusu.
Pia Kaa ukijua mwanamke Hana Fadhila hata umpe nini Bado zipo siku atakudharau.
Mwanamke usimuweke kua kipaumbele chako, Maisha yako na mambo yako Muhimu ndo uyape kipaumbele.
Mfano umepata 50,000/= Mwanamke mpe 5,000/=
Na Ukitokea umepata 10m Mwanamke mpe hata 70,000/=
Zine zote unabaki nazo na unauchuna kimya usiseme kua umepata pesa nyingi wanawake Hawana Fadhila.
Mie mke wangu namwambiankabisa kiasi hiki nimepata chako hi ho hapo na usilete nyodo wa kelele hapa. Yaaninhela yangu alafu nishindwe kutamba nimeingiza kiasi gani.Iko Hivi kumuitaji mwanamke ni Kujipendekeza, Au kushoboka Watoto wasiku hizi wanasema.
sasa wewe Kuhudumia Familia ya mke au kusomesha ndugu wa mkeo hizo ni shobo zako.
Kwani hiyo Familia Haina watu wa kutoa pesa au Kuhudumia Mzazi au Ndugu zao.
Utasikia Kuna ndugu yangu ana umwa naomba pesa ya matibabu yako.Huyo ndugu anaweza na Mke/ mme wamuhudumie siki kujitwisha mizigo isiyokuhusu.
Pia Kaa ukijua mwanamke Hana Fadhila hata umpe nini Bado zipo siku atakudharau.
Mwanamke usimuweke kua kipaumbele chako, Maisha yako na mambo yako Muhimu ndo uyape kipaumbele.
Mfano umepata 50,000/= Mwanamke mpe 5,000/=
Na Ukitokea umepata 10m Mwanamke mpe hata 70,000/=
Zine zote unabaki nazo na unauchuna kimya usiseme kua umepata pesa nyingi wanawake Hawana Fadhila.
Na akiona ivyo anakugeuka na kuanzisha magonjwa au shida zisizo na muhimuIko Hivi kumuitaji mwanamke ni Kujipendekeza, Au kushoboka Watoto wasiku hizi wanasema.
sasa wewe Kuhudumia Familia ya mke au kusomesha ndugu wa mkeo hizo ni shobo zako.
Kwani hiyo Familia Haina watu wa kutoa pesa au Kuhudumia Mzazi au Ndugu zao.
Utasikia Kuna ndugu yangu ana umwa naomba pesa ya matibabu yako.Huyo ndugu anaweza na Mke/ mme wamuhudumie siki kujitwisha mizigo isiyokuhusu.
Pia Kaa ukijua mwanamke Hana Fadhila hata umpe nini Bado zipo siku atakudharau.
Mwanamke usimuweke kua kipaumbele chako, Maisha yako na mambo yako Muhimu ndo uyape kipaumbele.
Mfano umepata 50,000/= Mwanamke mpe 5,000/=
Na Ukitokea umepata 10m Mwanamke mpe hata 70,000/=
Zine zote unabaki nazo na unauchuna kimya usiseme kua umepata pesa nyingi wanawake Hawana Fadhila.
Vijana kama wewe now hawapoMie mke wangu namwambiankabisa kiasi hiki nimepata chako hi ho hapo na usilete nyodo wa kelele hapa. Yaaninhela yangu alafu nishindwe kutamba nimeingiza kiasi gani.
Hataki ana uhuru wa kurudi kwao.
Manamke anatakiwa kujua kuwa at a drop of a hat she can be replaced na maisha yanaendelea.