Mwanaume unawezaje kukaa ukweni zaidi ya wiki mbili?

Hivi ukikaa ukweni ukiamka unafanya shughuli gani, au unaenda kuangalia tv na wakwe 🤣
 
Kuishi ukweni si tu kunakupunguzia heshima, bali ni kuidhalilisha familia yako na kuichoresha kuwa haijiwezi.
Kimsingi inatakiwa ulale usiku mmoja tu ukweni. Tena iwe kwa dharura sana.
 
Kuishi ukweni si tu kunakupunguzia heshima, bali ni kuidhalilisha familia yako na kuichoresha kuwa haijiwezi.
Kimsingi inatakiwa ulale usiku mmoja tu ukweni. Tena iwe kwa dharura sana.
Kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…