Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwa hiyo ukaliwa kimasihara ndani ya dakika 20habari wakuu!. wanaume ! kumbe mungu anaakili sana aisee hiyo jana nimejigundua kama ningekuwa mwanamke basi ningeitwa maharage ya mbeya.. . jana nilibananiswa sehemu tena haikuwa live ila sikuchukua hata dakika ishirini nikawa nimekubali . Sijawahi kupitia changamoto yakutongozwa na mwanamke kiukwel sikuweza kukataa . Mungu awape maisha marefu hawa mama zetu mishangazi.