Hajasema kila kitu; huyu katongozwa na mwanamke, halafu yaelekea mwanamke mwenyewe kamzidi umri (kam address kama mshangazi ) so kashindwa kukataa. Ukisoma kichwa cha habari cha story yake, ungeweza kuweka hivi, "Wanaume wenye wana uwezo wa kumkataa mwanamke akimtongoza anyooshe mkono" ukweli out of 10 men, huwenda 2 tu ndio venye wanaweza kushinda hili jaribu