Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1-Una umri gani?Huo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?
Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?
Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
nadhani huna haja kutamanisha au kumvutia pepo au majini wa kike na wakiume wa kuvamie, kwa kukaa kukaa kwako uchi hata uwe kwenye nyumba ya kupanga ama nyumba binafsi ni hatari sana mwanaume 🐒1-Una umri gani?
2-Una mke?
3-Unaishi kwenye nyumba yako au umepanga nyumba yenye wapangaji mchanganyiko?
NB: Maswali namba 1 na 2 ndiyo muhimu zaidi.s
Natokea hovyo mkuumbona una koment hoja kwenye mjadala wa hoja ya hovyo?
nikisema nawe ni kijana wa hovyo nakosea kweli ndrugo zango?🐒
Mashetani hayatabiriki yanapenda vituko hata kama ni shetani jike litajibadili kuwa dume kisha linambandua mlala uchi kana kwamba ni la kiumekwan mashetani yapo ya kiume tu ndio ukilala chale uchi yasitamani mshedede?🐒
Kuoga uchi na kulala uchi ni sawa tu kwa kutumia akili yenye logic ndiyo maana nimekuuliza ilo swali hili ujue kichwa chako kiko na ubongo wa kuku ...kuna mkenya hapa jf anaitwa MK254 alikuwa anatuponda watanzania kuwa tuna chamba kwa maji na mikono tukienda chooni kuwa ni wachafu eti tunaiga uchafu wa kiislamu ...logic ya huyo mkenya ilikuwa sawa na logic ya swali lako ...basi nikamjibu huyo mkenya kwa swali kama nilivyo kujibu wewe hadi leo ajathubutu tena kukashifu wanaojisafisha kwa maji wanapo kwenda chooni .....NILIMUULIZA KAMA KUJISAFISHA KWA MAJI (KUCHAMBA) NI UCHAFU JE YEYE AKIENDA KUOGA AJIFAFISHI HIZO SEHEMU KWA MAJI SAWA SAWA NA YULE ANAYE CHAMBA ...jamaa alikosa jibu hadi leo ajathubutu tena kutoa hiyo kauli ...maana hapo nyuma ilikuwa hiyo kauli.ni nyimbo kabisa hapa JF ..KAMA KULALA UCHI NI UPUMBAVU BASI HATA KUOGA UCHI NI UPUMBAVU PIA ...NILITEGEMEA WEWE UNGESEMA KUWA WEWE UWEZI KUOGA UCHI PIA ILA UNAOGA NA BOKSA NINGEKUONA UNAYO LOGIC YA SWALI LAKO ...WEWE NI SAWA NA MUISLAMU ANAYE KATAA KULA NYAMA YA NGURUWE ILA SUPU YA NGURUWE ANA KUNYWA...😁😁😁hiyo ya kuoga nadhani ukiifungulia uzi itapendeza zaidi, mimi nimezungumzia kulala 🐒
Hutaki kuachia vitu vipate fresh ea😂?Huyu mbunge wa jimbo la Hovyo ana mada na hoja zake za kutoka hovyo ni za hovyo kweli kweli 😂
Kulala uchi hapana, nehiii siwezi
Vikipata nikiwa kwa maliwato na nikizagamua yatosha sana, huko usiku ni kutamanisha mizimu na popobawa.Hutaki kuachia vitu vipate fresh ea😂?
Uvccm mna mawazo ya ajabu ajabu, hiki kichwa ndio kinasema humu mitano Tena shwain kabisaHuo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?
Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?
Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
Na akina P didy🤣Vikipata nikiwa kwa maliwato na nikizagamua yatosha sana, huko usiku ni kutamanisha mizimu na popobawa.
Hili nalo mkalitizame!Umemchungulia nani ukayajua yote hayo? Au mlianzaje kuongelea mada ya namna hiyo?
Hao ndo usiwataje kabisa 😂Na akina P didy🤣
Nimeipenda hiiIla usipende kulalia tumbo na kuu-expose mpepe unaweza kuwa compromised na mashetani yakijua umeyatarishia yao msosi,hope you won't say nobody warned me
HakikaNimeipenda hii
Noted.Hunogesha tendo la Ndoa,
Muda wowote mwenza wako anaweza kujihudumia, mathalani unaweza kushtuka usiku wa manane Mkeo ameshika maiki na kuanza kuimba, baada ya hapo kifuatacho ITV...