Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Hata uandishi unasadifu.Binafsi napenda waxhkaji wakimsifia mke wangu sjui kwann
Etiee!Hata uandishi unasadifu.
Nafikiri wenye wake wajawazito wanafurahia sn...no stress zakuwaza nani atamtonhoza/kumfikiria regardless na nguo atakayovaaUngependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
Inaonekana wewe bado hujaoaAwe tu na Tako hata akiwa uchi tunatembea
Umefafanua vyema.Naamini asilimia kubwa tunapenda kuonekana wa heshima tukiwa na wake zetu japo kuna maeneo lazima mke ajiachie sio manguo marefu kila sehemu. Mfano mnaenda ufukweni hakuna haja ya kuvaa manguo marefu na kingine usafiri gani unatumia huwezi toka na mkeo kavaa kimini alafu mnagombania daladala huo ni mtihani mwingine. Unenda dinner na wife avae manguo ya kanisani huo ni uongo. Kiufupi ni kwamba kila sehemu ina mavazi yake na mazingira yenu yatawafanya mjiachie au msijiachie. Mfano mm naweza safiri na wife from dar to klm kavaa bukta lakini hatuwezi safiri umbali huo huo tukiwa kwenye bus akavaa bukta au nguo nyepesi kulingana na mazingira.
Heshima ya mwanamke ni kujiheshimisha kwanza mwenyewe,kama amejistiri ni ngumu wanaume kuanza kumzoeachamsingi kuaminiana, hata akivaa magauni anaweza kukuzunguka
Hivi unaweza kwenda na mkeo beach halafu akavai chupi tu na sidiria,na wewe ukarizika?Kuongozana kwenda wapi?
Beach?
Kanisani?
Kazini?
Kusalimia ndugu na marafiki?
Au sehem gani?
Maana kila sehem ina mavazi yake
Kujiachia mwanamke ni chumbani kwake yeye mume wake,maana hata kwa wodogo zake wa mwanaume yaani mashemeji haruhusiwi kujiachia sembuse wanaume wa injeNaamini asilimia kubwa tunapenda kuonekana wa heshima tukiwa na wake zetu japo kuna maeneo lazima mke ajiachie sio manguo marefu kila sehemu. Mfano mnaenda ufukweni hakuna haja ya kuvaa manguo marefu na kingine usafiri gani unatumia huwezi toka na mkeo kavaa kimini alafu mnagombania daladala huo ni mtihani mwingine. Unenda dinner na wife avae manguo ya kanisani huo ni uongo. Kiufupi ni kwamba kila sehemu ina mavazi yake na mazingira yenu yatawafanya mjiachie au msijiachie. Mfano mm naweza safiri na wife from dar to klm kavaa bukta lakini hatuwezi safiri umbali huo huo tukiwa kwenye bus akavaa bukta au nguo nyepesi kulingana na mazingira.
Nioe nigundue nn mkuu?Inaonekana wewe bado hujaoa
Bado una safari ndefu. Unadhani jibu langu la ndio au hapana ndio uhalisia wa kila wanandoa wanavyotakiwa kuwa?Hivi unaweza kwenda na mkeo beach halafu akavai chupi tu na sidiria,na wewe ukarizika?
Elewa point usikurupukeKujiachia mwanamke ni chumbani kwake yeye mume wake,maana hata kwa wodogo zake wa mwanaume yaani mashemeji haruhusiwi kujiachia sembuse wanaume wa inje