Mwanaume usikate tamaa unapompenda mwanamke, wanawake wana huruma sana

Mama huruma huyo.... Mwanamke unaejielewa huwez kuendelea kukaa kwenye chumba cha mwanaume usie na mahusiano nae ukiwa unafahamu kabisa yupo katika uhitaji huo
Tusi judge sana pengine n swala LA huruma na kutokukata tamaa kwa mtoa mada [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana, eti kichwa tu usugue kwa nje. Mpaka nimemmic x wangu embu ngoja kwanza nimtxt nimkumbushie nilivomuomba papuchi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha... Ndo ukaliwa... Hili ni somo dada yangu.wanaume tunatakiwa tu kukaza moyo... Mbele ya K dada acha nilie tu....ili mradi nipate K na imenisaidia sana kwa leo.


 
Wewe jua umefanywa option. Uyo mpenz wake kashamla had kamtema sasa akili zimemkaa sawa kakimbilia bwege. Yan mm mwanamke akishantamkia kuwa ana mtu wake bac hata ile ham naye inatoweka.

Upo kama mm mkuu, yan kama nzi kadondokea juis , hamu inakata fasta kuliko kasi ya wasiojulikana
 
Mkuu...wewe subiri zako mpya au za kula peke yako.sisi wengine tunaamini utamu wa kitu upo hisiani mwa mtu.

Upo kama mm mkuu, yan kama nzi kadondokea juis , hamu inakata fasta kuliko kasi ya wasiojulikana
 
Kasie kasie kasieeee,


Si vizuri hivyo.
 
Unampenda una mtamani?imefika mahali hatujui tofauti ya kumpenda mtu na kumtamani
 
Nakumbuka enzi za sekondari nilikua Uboyzini huko nikawa naongea na mtoto kwenye simu hanielewi si nikaanza kujifanya nalia,kumbe kuna wana wananisikiliza,aisee ile nmemaliza natoka nilipojificha niongee na simu nakuta wana wananicheka kinyama siunajua shule za boyz kujifanya wagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…