Mwanaume usikate tamaa unapompenda mwanamke, wanawake wana huruma sana

Mwanaume usikate tamaa unapompenda mwanamke, wanawake wana huruma sana

Kuna watu watakucheka apa umelia[emoji3][emoji3]

Lakn amin ndugu yangu haupo peke yako wanaliaga sana tu wanaona aibu apa kusema
Kulia mbona kawaida tu,tunalia sana na tunapewa......
 
Daaah, Mdada ambaye sio Mkewako umeanza kumpenda tangu 2013, had leo.unampenda?, mmmh hatar sana,,
tena ana mtu wake.
 
Back
Top Bottom