Mwanaume usikate tamaa unapompenda mwanamke, wanawake wana huruma sana

Kuna watu watakucheka apa umelia[emoji3][emoji3]

Lakn amin ndugu yangu haupo peke yako wanaliaga sana tu wanaona aibu apa kusema
Kulia mbona kawaida tu,tunalia sana na tunapewa......
 
Hahaha..mkuu uliitoa mashine huku unaporomosha machozi!..lol wewe ni noma!
 
Daaah, Mdada ambaye sio Mkewako umeanza kumpenda tangu 2013, had leo.unampenda?, mmmh hatar sana,,
tena ana mtu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…