Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Wanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.

Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.

Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Uko sahihi mno. Mwanaume unaoa dogodogo hata kama umezeeka anakufanya unakuwa kijana. Mwanaume inabidi umwache mkeo miaka 20 na kuendelea.
 
Mko sahihi. Japo kwangu gab la 10 years, naona kama ni generation gape, Kuna uwezekano wa kua a mpishano wa vitu vingi

Mfano: Mwanamke anataka kwenda kuogelea, Mwanaume ashavuka hyo stage anaona ni upuuzi and the like
 
Mkuu hizo ni hisia zako! Maisha ya ndoa hayana Umri! Isipokuwa kweli haipenzi kuoa mke anayekuzidi Umri lakini kama mnaelewana na mnazaa watoto tabu ni nini?
Mbona kuna ndoa nyingi zimetulia wakati Mme na Mke wanalingana umri?
 
Back
Top Bottom