Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

dunia hii ni tabu tupu
Usichukulie poa unaambiwa ukweli Juzi nimetoka kusuluhisha ndoa iliyoshindikana maeneo ya huko bush binti ana miaka 19 kaolewa akiwa na miaka 18 mumewe ana miaka 21 kamuoa akiwa na miaka 20, sasa unajua nini kinachotokea hapo binti anawaka vibaya sana yaan unajua anawaka to the extent jamaa imemfika kooni maana anaona anaweza akatafunwa na yoyote na binti ni dizaini ya wale wanawake ukigusa tu kajaa, basi ilikua taflani wakaishia kupigana imagine mvulana anapigana na msichana barabarani full kuaibishana matusi kutukanana hatari tupu tatizo umri
 
Changamoto sana
 
Watu wanabisha basi tu ila mtoa mada yupo sahihi kabisa
Mwanamke hata ukimzidi miaka 2 bado wewe utaonekana mtoto kwake at least 5 kwenda mbele
Makuku ya kizungu kuna litoto moja Mimi nimelilea likiwa litoto linakua hivi naliona sasa hivi limekua bonge la limama ambalo mimi nilielilea naweza nikapeleka posa na nikalioa kabisa yaan
 
Umeanza vituko. Shangazi yako tupo umri sawa na hatuangaliani sura kama mmoja amekongoroka.
Ndo walivyokifundisha darasani mambo hayako hivyo, pesa inaleta amani ya moyo katika familia, unakuwa na ngozi ya pesa rangi ya kitajiri , mechi as usual na kadharika theory yako inafanya kazi Kwa watu wavivu tu . Kama umekaa vijijini unaweza elewa ninacho zungumza mwanamke wa 30 kama Hali haieleweki anaonekana kama ana 50 linganisha na aliyeko mjini
 
Point ni kwamba, mwanamke unayemzidi umri ni rahisi kunyenyekea mbele yako, hakuna mahusiano kama mwanaume anajiona mdogo mbele ya mke wake, unyenyekevu wa mwanamke unahamasisha ushawishi wa mwanaume.
 
Mkuu usiende katika extreme mke wa 17 bado ni mtoto huwezi kumuoa na mtu wa 49, lakini mke 23 kwa 33 sio mbaya hiyo age difference ni supportive, wengi wanaenda kanisani hawataki kutangulizana na wake zao kisa wake zao wamesha kua ma bibi wakati wao bado kabisa........chagua mke unoa mzidi umri kuanzia 5 hadi 10yrs kwa usalama wako wa badaye.
Nashukuru sana mke wangu ni wa 2002 Mimi wa 1992, tunamtoto mmoja tayari, hesabu zangu akinizalia watatu tu lazima uzee tufanane
 
Mwanamke ukiwa naye sawa umri ujue tayari kashakuzidi miaka 5

Mwanamke akiwa kwenye 20s na mwanaume kwenye 30s that's a healthy relationship

A young woman can still be programmed compared to an old woman

Mwanamke mwenye umri 30s na single mkimbie kama UKIMWI sio wa kufanya naye maisha
 
Mkuu usiende katika extreme mke wa 17 bado ni mtoto huwezi kumuoa na mtu wa 49, lakini mke 23 kwa 33 sio mbaya hiyo age difference ni supportive, wengi wanaenda kanisani hawataki kutangulizana na wake zao kisa wake zao wamesha kua ma bibi wakati wao bado kabisa........chagua mke unoa mzidi umri kuanzia 5 hadi 10yrs kwa usalama wako wa badaye.
Miaka 17 sio mdogo aisee
 
Back
Top Bottom