BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Huu ndio ukweli mtamu hata bibi yangu mzaa Bibi alinikataza hili jambo nikamuahidi Bibi nitalifanyia kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichukulie poa unaambiwa ukweli Juzi nimetoka kusuluhisha ndoa iliyoshindikana maeneo ya huko bush binti ana miaka 19 kaolewa akiwa na miaka 18 mumewe ana miaka 21 kamuoa akiwa na miaka 20, sasa unajua nini kinachotokea hapo binti anawaka vibaya sana yaan unajua anawaka to the extent jamaa imemfika kooni maana anaona anaweza akatafunwa na yoyote na binti ni dizaini ya wale wanawake ukigusa tu kajaa, basi ilikua taflani wakaishia kupigana imagine mvulana anapigana na msichana barabarani full kuaibishana matusi kutukanana hatari tupu tatizo umridunia hii ni tabu tupu
Umeshawahi kufa au kuingia kaburini?Maamuzi ni wewe, ata kabrini ni tabu tupu........
Changamoto sanaUsichukulie poa unaambiwa ukweli Juzi nimetoka kusuluhisha ndoa iliyoshindikana maeneo ya huko bush binti ana miaka 19 kaolewa akiwa na miaka 18 mumewe ana miaka 21 kamuoa akiwa na miaka 20, sasa unajua nini kinachotokea hapo binti anawaka vibaya sana yaan unajua anawaka to the extent jamaa imemfika kooni maana anaona anaweza akatafunwa na yoyote na binti ni dizaini ya wale wanawake ukigusa tu kajaa, basi ilikua taflani wakaishia kupigana imagine mvulana anapigana na msichana barabarani full kuaibishana matusi kutukanana hatari tupu tatizo umri
Makuku ya kizungu kuna litoto moja Mimi nimelilea likiwa litoto linakua hivi naliona sasa hivi limekua bonge la limama ambalo mimi nilielilea naweza nikapeleka posa na nikalioa kabisa yaanWatu wanabisha basi tu ila mtoa mada yupo sahihi kabisa
Mwanamke hata ukimzidi miaka 2 bado wewe utaonekana mtoto kwake at least 5 kwenda mbele
Ndo walivyokifundisha darasani mambo hayako hivyo, pesa inaleta amani ya moyo katika familia, unakuwa na ngozi ya pesa rangi ya kitajiri , mechi as usual na kadharika theory yako inafanya kazi Kwa watu wavivu tu . Kama umekaa vijijini unaweza elewa ninacho zungumza mwanamke wa 30 kama Hali haieleweki anaonekana kama ana 50 linganisha na aliyeko mjiniUmeanza vituko. Shangazi yako tupo umri sawa na hatuangaliani sura kama mmoja amekongoroka.
Nashukuru sana mke wangu ni wa 2002 Mimi wa 1992, tunamtoto mmoja tayari, hesabu zangu akinizalia watatu tu lazima uzee tufananeMkuu usiende katika extreme mke wa 17 bado ni mtoto huwezi kumuoa na mtu wa 49, lakini mke 23 kwa 33 sio mbaya hiyo age difference ni supportive, wengi wanaenda kanisani hawataki kutangulizana na wake zao kisa wake zao wamesha kua ma bibi wakati wao bado kabisa........chagua mke unoa mzidi umri kuanzia 5 hadi 10yrs kwa usalama wako wa badaye.
Wa kusogeza mda tu Sina mpango wa kuoaKwani umemuoa? huyu sio wakumaliza maisha nae.
Mkuu ndoa ina umuhimu wake ukopatia mtu sahihi, oa ili tupinge ushoga katika nchi yake.Wa kusogeza mda tu Sina mpango wa kuoa
Miaka 17 sio mdogo aiseeMkuu usiende katika extreme mke wa 17 bado ni mtoto huwezi kumuoa na mtu wa 49, lakini mke 23 kwa 33 sio mbaya hiyo age difference ni supportive, wengi wanaenda kanisani hawataki kutangulizana na wake zao kisa wake zao wamesha kua ma bibi wakati wao bado kabisa........chagua mke unoa mzidi umri kuanzia 5 hadi 10yrs kwa usalama wako wa badaye.
Bado mtoto wa form two huwezi kumfanya kua mke hapana huo ni ubakaji kwangu hata awe form four bado mdogo kiakili.Miaka 17 sio mdogo aisee
Hapa hatuangalie suala la utamu hapana, je utaweza ku match nae ukiwa 65yrs.Mtoa post unajuwa utamu wa wadada 45+
Mbona huku kwetu tunawaoa wako na 16 na mambo yanaenda fresh tu?Bado mtoto wa form two huwezi kumfanya kua mke hapana huo ni ubakaji kwangu hata awe form four bado mdogo kiakili.
Huko kwenu hamna serikali mnafanya vitu hovyo kama mnavo taka.Mbona huku kwetu tunawaoa wako na 16 na mambo yanaenda fresh tu?
Serikali ipoHuko kwenu hamna serikali mnafanya vitu hovyo kama mnavo taka.