Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Uko sahihi mno. Mwanaume unaoa dogodogo hata kama umezeeka anakufanya unakuwa kijana. Mwanaume inabidi umwache mkeo miaka 20 na kuendelea.
 
Mko sahihi. Japo kwangu gab la 10 years, naona kama ni generation gape, Kuna uwezekano wa kua a mpishano wa vitu vingi

Mfano: Mwanamke anataka kwenda kuogelea, Mwanaume ashavuka hyo stage anaona ni upuuzi and the like
 
Mkuu hizo ni hisia zako! Maisha ya ndoa hayana Umri! Isipokuwa kweli haipenzi kuoa mke anayekuzidi Umri lakini kama mnaelewana na mnazaa watoto tabu ni nini?
Mbona kuna ndoa nyingi zimetulia wakati Mme na Mke wanalingana umri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…