Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,840
Kwa kweli hiyo nayo inaweza kua ni sababu.Labda mwanaume anakua hajui kunyandua vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli hiyo nayo inaweza kua ni sababu.Labda mwanaume anakua hajui kunyandua vizuri
Ni kweli kwenye maisha ya ndoa inatupasa tusali sanaaa kwa maana shetani hapendi watu wapendane au waelewane.Everything starts from the book, Adam hakuongea na shetani bali Eva/ Hawa.
Lango la shetani ni kwa mwanamke, inahitajika nguvu za Mungu kuvuka salama.
Siyo kweli.Kwa kweli hiyo nayo inaweza kua ni sababu.
Nakumbuka kipindi tunaanza ilikua kila siku sho sho na wala nilikua sichoki kwa kweli. Nilikua nasikia utamu[emoji85]Natamani kua kama wewe hua hauchoki hata akitaka kila siku??
Sasa kama mwanaume anaingiza tu halafu anatulia baada ya dk 1 ameshamaliza hapo kuna raha gani sasaSiyo kweli.
Ila it depends na mtu alivyolelewa. For a good reason kwa wengine mama ndio kila kitu so ili awe safe kabla ya kufanya chochote anahisi confirmation lazima kitoke kwa mama.Most of them hawana
Nishadate na mwanaume kila kitu ni ngoja nimwambie mama kila kitu mama
Sio kwa ubaya ila inachosha
Msimamo ni zeroooo
Ni kweli mkuu na ni jambo jema ila inategemea na vitu vya kumshirikisha mama ako maana hakuna mtu asiependa mama ake ajue mwenendo wa maisha yake. Ila inategemea kuna wengine imezidi sana mpaka unapata mashaka. Mimi nimeshindwa mtu wa design hiyo.Ila it depends na mtu alivyolelewa. For a good reason kwa wengine mama ndio kila kitu so ili awe safe kabla ya kufanya chochote anahisi confirmation lazima kitoke kwa mama.
Ukidate na mtoto wa single mother, psychologically get prepared na hizo issue coz mtoto wake ndio kila kitu, tena km alitendwa vibaya na baba yake.Ni kweli mkuu na ni jambo jema ila inategemea na vitu vya kumshirikisha mama ako maana hakuna mtu asiependa mama ake ajue mwenendo wa maisha yake. Ila inategemea kuna wengine imezidi sana mpaka unapata mashaka. Mimi nimeshindwa mtu wa design hiyo.
Tena ukute ni yule mama aliemlea mwnywe ndio balaa hata kwao hataki kuondoka… utaskia hiki mama amesema hivi kile mama amekataa mpaka unajiuliza hivi huyu ni timamu kweliUkidate na mtoto wa single mother, psychologically get prepared na hizo issue coz mtoto wake ndio kila kitu, tena km alitendwa vibaya na baba yake.
Tofauti na sisi wengine tuliokuwa tunakimbizwa na mafagio daily.
, ili uishi kwa amani na ustawi yakupasa kuwa mkoloni tena mkoloni haswa. Wanawake ukiwachekea ooh sijui honey, baby LAZIMA WAKUPANDE KICHWANI TU. Mwanamke kaumbwa kutawaliwa ujaijifanya usasa mwingi. Mwanaume inapaswa umpende mke/mpenzi wako ila lazima uwe na ukauzu na udikteta kwa mbaaali, hapana iwe HAPANA.Ukiona mwanaume yeyote analalamika kuhusu mwanamke hamuelewi, mara ohoo nipo sipewi unyumba, mara ohoo mwanamke wangu kabadilika
Nasema ivi mwanaume mwenzangu unapokuwa na mahusiano na binti yeyote jifunze kuwa na msimamo lakini ukijifanya lava lava boy kila kitu sawa babe utaendeshwa mwanamke mpaka dunia utaiona Chungu na mwanamke atakudharau mno nina mifano kibao ya watu wa karibu wamefikia hatua saivi
Akitoka kazini anaona bora achelewe kurudi nyumbani kukwepa kelele za mke
Yupo mwingine kakimbia nyumba kamwachia kila kitu mkewe kaamua kuanza upya
Yupo mwingine ukitaka kufanya nae dili la pesa hawezi kufanya mpka amuulize mkewe na mkewe akikataa basi dili halifanyiki
Yupo mwingine anaogopa hata ndugu zake wafike kwake ila ndugu wa mkewe wanafika
Na mengineyo mengi lakini haya yote ni kutokuwa na msimamo
Ni kweli mkuu na ni jambo jema ila inategemea na vitu vya kumshirikisha mama ako maana hakuna mtu asiependa mama ake ajue mwenendo wa maisha yake. Ila inategemea kuna wengine imezidi sana mpaka unapata mashaka. Mimi nimeshindwa mtu wa design hiyo
Hivi inakuawaje mwanamke anamnyima unyumba mume wake....? Wanakua kwenye ugomvi au vp...Hilo swala mm ndo siliwezi kabisa akitaka muda wowote mm nampa tu.