Mwanaume usipokuwa na msimamo utaendeshwa na mwanamke mpaka dunia utaiona chungu

Natamani kua kama wewe hua hauchoki hata akitaka kila siku??
Nakumbuka kipindi tunaanza ilikua kila siku sho sho na wala nilikua sichoki kwa kweli. Nilikua nasikia utamu[emoji85]
 
Most of them hawana
Nishadate na mwanaume kila kitu ni ngoja nimwambie mama kila kitu mama
Sio kwa ubaya ila inachosha
Msimamo ni zeroooo
Ila it depends na mtu alivyolelewa. For a good reason kwa wengine mama ndio kila kitu so ili awe safe kabla ya kufanya chochote anahisi confirmation lazima kitoke kwa mama.
 
Ila it depends na mtu alivyolelewa. For a good reason kwa wengine mama ndio kila kitu so ili awe safe kabla ya kufanya chochote anahisi confirmation lazima kitoke kwa mama.
Ni kweli mkuu na ni jambo jema ila inategemea na vitu vya kumshirikisha mama ako maana hakuna mtu asiependa mama ake ajue mwenendo wa maisha yake. Ila inategemea kuna wengine imezidi sana mpaka unapata mashaka. Mimi nimeshindwa mtu wa design hiyo.
 
1. Ukiwa na Pesa ukakosa msimamo kwa mwanamke ni shida.

2. Ukikosa pesa ukawa na msimamo bado ni bure

3. Ukiwa na msimamo na pesa na ukakosa nguvu za kiume bado tabu ipo pale pale.

Na hivi wanasema Mungu hakupi vyote wana wanaona bora wabet tu. 😶
 
Ni kweli mkuu na ni jambo jema ila inategemea na vitu vya kumshirikisha mama ako maana hakuna mtu asiependa mama ake ajue mwenendo wa maisha yake. Ila inategemea kuna wengine imezidi sana mpaka unapata mashaka. Mimi nimeshindwa mtu wa design hiyo.
Ukidate na mtoto wa single mother, psychologically get prepared na hizo issue coz mtoto wake ndio kila kitu, tena km alitendwa vibaya na baba yake.

Tofauti na sisi wengine tuliokuwa tunakimbizwa na mafagio daily.
 
Tena ukute ni yule mama aliemlea mwnywe ndio balaa hata kwao hataki kuondoka… utaskia hiki mama amesema hivi kile mama amekataa mpaka unajiuliza hivi huyu ni timamu kweli
Na tumekimbizwa kweli na mafagio😆😆😆baba akikuchapa mama anakutetea hivo hivo tuu
 
, ili uishi kwa amani na ustawi yakupasa kuwa mkoloni tena mkoloni haswa. Wanawake ukiwachekea ooh sijui honey, baby LAZIMA WAKUPANDE KICHWANI TU. Mwanamke kaumbwa kutawaliwa ujaijifanya usasa mwingi. Mwanaume inapaswa umpende mke/mpenzi wako ila lazima uwe na ukauzu na udikteta kwa mbaaali, hapana iwe HAPANA.

Kwa mfano tu eti mkeo anakusifia "mume wangu muelewa" shenzi huyo mwanamke anaweza kutafunwa hata hapo chini ya pua yako.

USIMUHESHIMU MWANAMKE, BALI MPENDE. Wewe mwanaume ndio mapaswa kuheshimima.
 
Wanawake wanatuchanganya sana Ukiwa na misimamo mikali napo utaonekana, hushirikishi familia au mkeo, sasa sijui tufanyeje tu
 
Ni kweli mkuu na ni jambo jema ila inategemea na vitu vya kumshirikisha mama ako maana hakuna mtu asiependa mama ake ajue mwenendo wa maisha yake. Ila inategemea kuna wengine imezidi sana mpaka unapata mashaka. Mimi nimeshindwa mtu wa design hiyo

😂😂😂 akyanani

na yupo radhi mlale njaa mama apewe hela ya vicoba
 
Wewe ndiye wife material. Hata mkigombana shughuli zote zinatakiwa ziendelee.
Kuna jamaa yeye akigombana na mkewe, mwanamke anahama nyumba, hapiki, hamfulii jamaa nguo, usafi hafanyi halafu anawachukia hadi marafiki wa mume.
Hivi inakuawaje mwanamke anamnyima unyumba mume wake....? Wanakua kwenye ugomvi au vp...Hilo swala mm ndo siliwezi kabisa akitaka muda wowote mm nampa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…