Mwanaume usiweke moyo wako kwa mwanamke asilimia mia, siku akikumwaga utalia

Mwanaume usiweke moyo wako kwa mwanamke asilimia mia, siku akikumwaga utalia

Pole sana... Ila ni kweli...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...



Cc: mahondaw
 
Halafu mwanaume unapataje ujasiri wa kuwa na kamwanamke kamoja?

Tubadilike inamaana tumesahau hata Adam aliyetengenezwa kwa mikono ya sir God lakini Hawa kamhenyesha vya kutosha vilevile samsoni na delila
Sasa sembuse hiki kizazi cha emoji
Hahah
 
Sjui nmekuwa Malaya nikiachwa siumii yaan sijawi experience maumivu ya mapenz
122593451_2740797049471953_1777710575627596097_n.jpg


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
kabisa mkuu. kibaya zaidi ni kuwa wanaume wanaongoza kwa kuwekeza kwa wanawake mwisho wa siku ndio wanaoongoza kwa kutendwa.
Kabisaaa mkuu, wanawake wao wanawekezaga muda na hisia tu, wakati wanaume tunawekeza kila kitu, yaan vyote muda, hisia, fedha na mali
 
Kabisaaa mkuu, wanawake wao wanawekezaga muda na hisia tu, wakati wanaume tunawekeza kila kitu, yaan vyote muda, hisia, fedha na mali
Hh
 
Unamsubiri ageuke badala ya kuanza mautundu, pitisha ulimi kwenye uti wa mgongo huku unampuliza kidogo sikioni kwake, mkono wako uwe kwenye kifua chake unatomasa tomasa, mwenyewe atageuka mbona,

Wanawake hisia zao ziko mbali hadi zichokozwe chokozwe sasa wewe jifanye gentleman utapewa jibu la 'Nimechoka hebu tulale' kila siku.
 
Haya mambo unadhani Unajiamulia tu kwamba leo nampenda Mtu huyu nusu upendo ili asiniumize [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hali ya kupenda huwa Haiamuliwi huwa inatokea tu unajikuta Fala kwa mtu fulani! Mtoa mada tusidanganyane wti penda kwa kiasi! Ukiona unaweza kujicontrol basi hujampenda huyo, Subiri uzame uone na hainaga dalili wala taarifa unajikuta tu Hujielewi! Msione watu wanahonga mavisima ya mafuta, migodi, wengine wanajiua mkafikiri ni Wapumbavu....Wamezama kwenye mapenzi! Omba Mungu tu Uzame pazuri halafu mbaya zaidi kuzama kwenye mapenzi ni kama kifo yani kila mtu ipo siku atazama tu haijalishi wewe ni mbuzi kauzu kiasi gani
 
Stop getting urself on such inferiority precept, love has its own colour shaded with care, passion, sacrifice, endurance, commitment and so of the like... learn how to love and work on whom you love. Those negatives are developed to those who love in partial.
 
Back
Top Bottom