Mwanaume usiye na kazi usipende!

Mwanaume usiye na kazi usipende!

Dr criminal

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2022
Posts
2,282
Reaction score
4,316
Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26

Out there wakuu,

Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula mbususu pita hivi, usijenge kibanda, usilete hisia bro, utanyonyoka vibaya sana, sana!

Naongea na wewe jobless wakiume. Anaweza kukupenda kweli kutoka moyoni lakini Kuna vitu huwezi kumtimizia, sasa wakati wanaume wenzako watakapokuja kukusaidia majukum ukija ukigundua utapata mshtuko wa moyo, UTAKUFA.

Sikiliza jobless wa kiume, technically hakuna mwanamke jobless ila wapo tu ambao hawana kazi maalum, ukimwona hajaajiriwa au hana mishe yeyote usijidinganye kuwa ni hadhi yako, utashangwazwa nakuhakishia, ATAKUSHANGAZA.

Jobless mbususu chakata ila usipende, chonde chonde jobless mwenzangu safari ni ndefu sana, muda mchache, ndoto ni kubwa sana, mizigo ni mingi mno, hizi pisi zitakukwamisha na kukurudusha nyuma, atasepa na hako kamtaji kako jobless tuwe makini.

Jobless mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua, jobless stress za mapenzi zinaua, stress za mapenzi zinafelisha, stress za mapenzi zinaleta fikra hasi, stress za mapenzi zinaweza fanya ukajutia kuwa hai, jobless huna haki ya kupendwa tafuta hela.

Sikiliza jobless, anaweza akaelewa show yako kwa bed lakini maisha yako asipoyaelewa ndiyo basi tena humpati, kwahiyo ukimkabidhi moyo umejila jobless, nasema UMEJIlA jobless.

Chakufanya tujenge base halafu tuinue empire(huo mda endelea kuchakata ila usipende), mambo yakijipa ndio upende mtoto wa mtu mpaka achanganyikiwe.

Ila kwa hali yako ya sasa jobless, anaweza kukupenda ila hawezi kubaki mikononi mwako, huwezi kumlinda atatoweka tu siku moja, watamchukua vibopa, halafu utaumia sana kwa hisia ulizowekeza. Kwahiyo jobless kaa chonjo, jobless kaa mbali.

Kiufupi majobless hatuna haki ya kupendwa.

Na log out,
Dr Criminal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods waweke lamination huu uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Maswali kwa wadada na mtoa mada:

KWA MTOA MADA:
1)Vipi kama mwanaume umeajiriwa ila unalipwa 150k kwa mwezi hlf uko dar, au hata mkoani, una tofauti gani sana na jobless? Mifano hai ninayo, nina washkaj wameajiriwa ila hawawezi hata kuoa, sababu mshahara wao ni mdogo mno.

KWA WADADA:
2) Wadada mnataka wanaume wenye uchumi stable/wenye pesa za kutosha, ukifanya sensa ya kipato hapa Tanzania, ni asilimia ngapi ya vijana wa kiume walio kwenye umri wa kuoa (miaka 18-35) wanaopata walau tshs. Million 1 kwa mwezi? Na chances za wewe mdada kutongozwa na mkaka mwenye kipato cha hivo ni asilimia ngapi? Kelsea Dream Queen Demi Kalpana Dr criminal
 
Back
Top Bottom