Mwanaume usiye na kazi usipende!

Endelea kutafuta pesa ili uishi na pisi kali.
Hautakuja kumuelewa mwanamke mpk unaingia kaburini wanataka nini. Watu wapo wanapesa lkn anagongewa na house boy au dereva wake.
Kule Mwanza jamaa alimpiga risasi mke wake baada ya kugundua mke hamtaki japo jamaa ana mali mpk alimsomesha
Kuna siku naangalia TV jamaa alikuwa anaomba ushauri afanyaje baada ya kugundua mke wake anatembea na boda boda japo yeye ana mali na anamtimizia kila kitu.
Siwezi kutafuta pesa nimfurahishe mwanamke.
 
Kuna haja tukaiweka hii thread kwny mfumo wa audio iwe ni lazma kuisikiliza kila mtu akitaka kulog in JF,hii ni kumbusho la muda wote asee.
Nyie ndiyo wale mnatafuta pesa ili uwe na mwanamke mzuri huku umesahau maisha ni hatua.
Siku umefukuzwa kazi, umefirisika au umeugua mwanamke anakukimbia kwasababu hauna hela tena ya kumtimizia mahitaji yake.
 
Usijalibu kupingana na mtoa mada ukauacha uhalisia.

Hata hao wanaotaka kuolewa,
Hakuna mwanamke anataka kuoelwa na jobless

Ukiona yupo,
Basi ujue Hana option Zaid ya hiyo.
Na ikipatkana Basi hiyo ndoa lazima iote mbawa
 
KWA sasa
Mahusiano Ni gharama,
Mahusiano yanahitaji uendeshaji,
Huna hela kaa TU kushoto wenzio wasongeshe gurudumu
Kuna watu wanahela lakini wake zao wanaliwa na bodaboda mpk mahouse boy.
Nyie ndiyo wale mnatafuta pesa ili uishi na mwanamke mzuri huku umesahau maisha ni hatua.
Siku umeyumba kiuchumi au umefukuzwa kazi mke anakukimbia.
 
Msisahau kwamba Kuna watu Wana pesa nyingi Sana ila wanagongewa wake zao na wahuni wa mtaani.
Mtoamada hajasema usigonge, kasema usipende.

Anaweza akagongwa na wewe ila hakupendi.

Hata wewe unaegonga Dem wa mwenye pesa huna confidence ndo maana utaish na dem kama digidigi
 
Sitasahau Siku niliambiwa na mpenzi Wang neema kwamba nitafute kwanza hela nikipata nimtafute.. Nilipata Taabu sana kumsahau mbele ya Degree yangu ya Angriculture
Mi mwnyw galfrend want wa kwanza alnambia nmeisha fashion

Ukitafakar fashen aligundua nilikua Sina pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…