MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI.
KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za maofisini fanyeni mazoezi. Afya yako ndo mtaji mkuu wa kila kitu. Linda afya yako kwa wivu mkubwa. Hata kama hutaki jogging fanya mazoezi mengine kujiweka fit.