MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Noma sanaUnakuta kijana kaajiriwa kajibweteka tumbo kubwa manyama uzembe hafanyi mazoezi, miaka sitini hatoboi, hamsini tu akitoboa akafanye jubilei
Wewe mzee wa Chuga uwe unapandisha na kushuka mara 20 kile kimwinuko wakati unaingia uwanja wa mpira wa Ilboru sec. Hata uwanja wa Soweto ulivyokaa ni mzuri kimazoezi.Cha msingi ni kufurahi tuuu...maisha ni mafupi
WanajidanganyaInasikitisha...
Wanasema stress pia ni mazoezi inapunguza mwili😁😁😁
SawaHuu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI.
KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za maofisini fanyeni mazoezi. Afya yako ndo mtaji mkuu wa kila kitu. Linda afya yako kwa wivu mkubwa. Hata kama hutaki jogging fanya mazoezi mengine kujiweka fit.
Kaka yangu ana miaka 81 anakimbia kilomita 16 mimi Nina miaka 64 naweza kukimbia kuliko mwizi, kikikikiHuu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI.
KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za maofisini fanyeni mazoezi. Afya yako ndo mtaji mkuu wa kila kitu. Linda afya yako kwa wivu mkubwa. Hata kama hutaki jogging fanya mazoezi mengine kujiweka fit.
Hongereni sana.Kaka yangu ana miaka 81 anakimbia kilomita 16 mimi Nina miaka 64 naweza kukimbia kuliko mwizi, kikikiki
I am still drive and energy
Asante kingine ili uwe strong ni kupunguza kuchimba mgodi wengi hawawezi kupunguza ukiwaangalia wamezeeka sanaHongereni sana.
USisahau na wamama wa age hiyo na uwape ushauri unao endana nao!Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI.
KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za maofisini fanyeni mazoezi. Afya yako ndo mtaji mkuu wa kila kitu. Linda afya yako kwa wivu mkubwa. Hata kama hutaki jogging fanya mazoezi mengine kujiweka fit.
Kwa maana ya kumtafuna mwanamke? Vipi kuhusu wapiga nyeto kama dronedrake ?Asante kingine ili uwe strong ni kupunguza kuchimba mgodi wengi hawawezi kupunguza ukiwaangalia wamezeeka sana
Ukitaka kujua kwenye mgodi kuna shida jaribu kukaa hata mwezi mmoja ama zaidi mwili unakuwa hauna maumivi yaani raha sana, 'no body pains, you become drive and energy'Kwa maana ya kumtafuna mwanamke? Vipi kuhusu wapiga nyeto kama dronedrake ?