Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimi
1476043696594.jpg
 
Hahahaha, it is very difficult for a man to understand a woman, only women understand each other, a reason why they hate each other,
Wanawake mmetokwa povu kweli kwenye huu Uzi wakati Uzi umetulenga wanaume. Kazi kweli.
 
Dream on and keep dreaming.
Siku zote usi expect vitu vidogo expectation zako zizidi mahali ulipo, hata ukitaka kufanikiwa we ota ndoto kubwa kubwa tu utaongeza juhudi na jitihada
 
Afande nanliuuu dhibiti hili jambazi................. Kudadadeki unataka kuibia raia mchana kweupe Nyambaaaf
 
Back
Top Bottom