Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Mughonile!
Rafiki yangu kuanzisha Uzi hapa kisa kaniona Mimi nahonga na sihudumii familia yangu vizuri.
Kwanza rafiki tambua Mimi na Wewe tupo tofauti,
Mimi ninasura ngumu na isiyovutia, wakati wewe unasura laini ya Mama yako, bado unataka nisihonge, unafikiri hizi pisikali nitazipataje?
Embu niambie wanaume wa namna hii wataachaje kuhonga?
1. Sura mbovu
2. Mfupi kupitiliza au mrefu kupitiliza
3. Mwenye kibamia
4. Shoo mbovu anapiga dakika moja chali.
5. Kazi ya maana Hana,
6. Domo zege hawezi kutongoza.
Wanaume wa hivyo ataachaje kuhonga ili naye apate raha?
Tusipangiane Eboo!