Mwanaume wa kuzaa nae!

Mwanaume wa kuzaa nae!

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
hivi huo mtaa uliopo au unapo zunguka kote kama google map ujamuona mpaka uje humu JF,JARIBU TATU MZUKA YAKO unaweza kukutana na dk shika
 
usisahahau kutupa mrejesho ukisha pata hiyo mimba kutoka kwa mwanaume utakayempata kupitia jf
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.

kuliko kukupatia mtoto wanamna hiyo kisha sipati fursa ykuonana nae nakumlea...sibora nikamtoe kwa kalumanzira niwe kama bakhresa ...hahaa
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
Come in baby nipo hapa.
 
Hii ni sawa na kuirusha damu yako sandakalawe.......ya callin up a bastard...this is a curse....turn ya mind up queen girl and go back to work or get in the supermarket and buy some doughnuts
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
nitafute
 
Duuh...this is very interesting!
Hata km una njaa ila siyo za kiwango hiki. Ni very interesting lk inachukiza. Uuze damu yako kisa pesa? Hujui huyo mwanamke ana nini mpaka atake mtu wa kuzaa naye. Maana huko mtaan amekosa? Mbona wenzake wameshapewa mimba na sasa wana watoto na jina jipya. They are called single mothers.
Changamkia fursa hiyo mkuu huenda ukawa mshindi
 
Doh me nafaa kabisa katika hii tenda, ila sasa mimi kabila Doh, natoka milima ya ugweno.
 
Hata km una njaa ila siyo za kiwango hiki. Ni very interesting lk inachukiza. Uuze damu yako kisa pesa? Hujui huyo mwanamke ana nini mpaka atake mtu wa kuzaa naye. Maana huko mtaan amekosa? Mbona wenzake wameshapewa mimba na sasa wana watoto na jina jipya. They are called single mothers.
Changamkia fursa hiyo mkuu huenda ukawa mshindi

Sitoi mbegu yangu for the sake of it!

Nazaa mtoto kwenye ndoa only...kwingine kokote ni plastics all through..Labda ajali ya kupasuka au kutoboka,ila sio makusudically najazisha mtu mimba kutesa mtoto psychologically..Thats child torture!

Nitakuaje sperm donor mzee?That kid deserve both worlds

Nitakua na poor judgement kama nitajiunga na mtu ku generate mtoto aishi na single parent...nitakua nimejiunga na evil partner kumpatia mtoto mateso ya maisha of which the kid has nothing to do with it at all...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaha eti uwezo wa kutungisha mimba toa game watu wapige aseeh
 
Back
Top Bottom