Mwanaume wa kuzaa nae!

MAMBO YA KUMSABABISHIA MTOTO NUKSI KUANZIA AKIWA MDOGO NDIO HAYA.MTOTO ANAJUA BABA AMEKUFA KUMBE BADO YUPO BAADAYE ANAKUJA KUMTONGOZA DADA YAKE AU MDOGO WAKE BILA YA KUJUA!! AU AKIWA WA KIKE NA WATOTO WA SIKU HIZI WANAVYOKUA HARAKA BABA ANA MIAKA 50 MTOTO TAYARI ANA 20 NA TAYARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU! FIKIRIA VIZURI KUHUSU SUALA LA BABA.MTU AKIWA ANAJUA TU YULE NI MTOTO WANGU NA UMEKUBALI MWENYEWE HAUTA-MUHAMISA MABETO HUYO MWANAUME HAKUNA SHIDA KWANI NANI ATATAKA NDOA YAKE IHARIBIKE KWA MKE WA SIKU MOJA
 
Umeshampata, omba mods waufunge huu uzi, au una nia ya kuusambaza zaidi?
JAMAA WAMESHAANZA WIVU ETI UZI UFUNGWE.HAYA NDIO YALE MAKABILA YA KIZARAMO ULIYOKUWA HUYATAKI.WATAKUGANDA HAO BARAA
 
HUYU MAMA NAYE ATAKUWA NI MUHENGA.NA AMEJERUHIWA NA HAYO MAKABILA YOTE HAPO.HIYO MIMBA UTAMWINGIZIA KWA MASHARTI HAYO.MPAKA HAMU YA PAPUCHI ITAISHA
 
Mahandsome na maji ya kunde wapo instagram na facebook . Aiseeeh noma saaana
 
Hujataja kazi na uwezo wako kifedha. Mtu hawezi kukuachia dam yake then mtoto ateseke
 
MM nipo but inatakiwa tupime kabisa maana inaweza ikawa 'mbuzi kwenye gunia'.
 
Ww kabila gani kwanza usigekuwa mchaga tukazaa hlf ukaniuA...umeshindikana huko na mume umekosa unataka kununua shahawa pita kushoto....
 
Duu love connect ina vichaa wa kila aina huyu nae ni kichaa
 
Duh nipe fursa hahahaha
 
Hayo makabila ambayo hayataki amewahi kudate não na huenda walimuumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…