Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa alileta u hiro...Hachezi shaolin temple wala kunyanyua sijui machuma mmh!
Mwanaume wa kweli anakwenda zoo anafungua geti anamchapa simba makofi, halafu anasepa!
Mkuu hii ni tafsida? Kwamba kuna ujumbe ulitaka kuwafikishia wanaume lakini watoto wasijue? Najiuliza tu hapa maana usingizi umekataHachezi shaolin temple wala kunyanyua sijui machuma mmh!
Mwanaume wa kweli anakwenda zoo anafungua geti anamchapa simba makofi, halafu anasepa!
Hahahaa, umetisha mkuuupo sahihi mkuu