Mwanaume wa kweli

Mwanaume wa kweli

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Hachezi shaolin temple wala kunyanyua sijui machuma mmh!
Mwanaume wa kweli anakwenda zoo anafungua geti anamchapa simba makofi, halafu anasepa!
 
Yule jamaa alileta u hiro...
 
Hachezi shaolin temple wala kunyanyua sijui machuma mmh!
Mwanaume wa kweli anakwenda zoo anafungua geti anamchapa simba makofi, halafu anasepa!
Mkuu hii ni tafsida? Kwamba kuna ujumbe ulitaka kuwafikishia wanaume lakini watoto wasijue? Najiuliza tu hapa maana usingizi umekata
 
duh nilidhani kuna pointi kubwa itakua inaongelewa hapa, kumbe jokes ila nimechekea aisee,
 
Back
Top Bottom