Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mwanaume wa shoka ni mvumilivu na asiyekata tamaa. Mambo yakiwa magumu anaweza kupigana na maisha, akiwa na pair moja ya viatu, suruali pair mbili. Anatoka asubuhi iwe jua iwe mvua anahakikisha watoto wamekula na ada za shule amelipa. Kuna watakaomcheka kwakua viatu vyake vimekwenda upande lakini kilicho akilini mwake ni kuona watoto na mke wanafuraha na amani.
Uki cheat kwa mwanaume wa aina hii, utapata laana.
Uki cheat kwa mwanaume wa aina hii, utapata laana.